Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

Chai inalimwa Njombe alafu mnada unaanzishwa Dar es salaam!?
CCM Oyeee
 
Musiba!! gwiji?
Nimechagua kukupuuza rasmi sasa.
 
jifunze kusoma kinyumenyume na wewe kwani fasihi ulikuwa unapataga ngapi shuleni duh hujui maana ya sarcasm?

Badala yaandike kuhusu afya ya 'bwana' yule, yanajaribu kuhamisha upepo kijinga namna hii... bure kabisa.

Kabisa kuna wenye timamu hununua hayo matakataka?
 
Badala yaandike kuhusu afya ya 'bwana' yule, yanajaribu kuhamisha upepo kijinga namna hii... bure kabisa.

Kabisa kuna wenye timamu hununua hayo matakataka?
HAHAHAHAHAH watu wananunua magazeti ya michezo siku hizi uzuri kwa hawa jama sidhani kama wanategemea mauzo ya mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…