Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

Lazima Waziri mkuu mpya atoke kanda ya ziwa

Ili kuinusuru ccm lazima Waziri mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke kanda ya ziwa.

Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka kanda ya ziwa nafikiri nimeeleweka!
kanda ya ziwa tena? labda mzee Kitwanga.
 
Lazima Waziri mkuu mpya atoke kanda ya ziwa

Ili kuinusuru ccm lazima Waziri mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke kanda ya ziwa.

Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka kanda ya ziwa nafikiri nimeeleweka!
Atoke popote ukanda mwl. aliupiga marufuku, au unataka akapewe majaliwa wa precision air
 
Lazima Waziri mkuu mpya atoke kanda ya ziwa

Ili kuinusuru ccm lazima Waziri mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke kanda ya ziwa.

Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka kanda ya ziwa nafikiri nimeeleweka!
Na Rais atatokea kanda ngani?
 
Kwenye serikali hii isiyo na tabia ya kuwajibishana kwa uzembe. Halafu unapoona kiongozi mmoja kila siku nafasi yake inawindwa kuna mawili; huyo mtu sio mlamba asali vizuri au awaivi na boss.

Yaani badala ya kuanzisha mada nani awe waziri wa nishati, maji, kilimo, uchukuzi na mambo ya ndani. Wizara ambazo failure zake zipo wazi. Ajabu ni kwamba kila siku inaanzishwa mada na kutafutwa sababu ya kuondolewa kwa PM.

Na walamba asali fitna wanaijua, Dorothy Gwajima aliondoka kwa mtindo huu afya. Majaliwa anatakiwa kuanza kupanga vilivyo vyake ofisini; jamaa awamtaki wanamtafutia sababu za yeye mwenyewe kujiudhuru.
 
Lazima Waziri mkuu mpya atoke kanda ya ziwa

Ili kuinusuru ccm lazima Waziri mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke kanda ya ziwa.

Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka kanda ya ziwa nafikiri nimeeleweka!

“Lazima atoke…..”. Says who?
Waziri mkuu atatoka kokote
 
Back
Top Bottom