Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa

Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.

Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Kwanini asiwe mgogo kutoka Dodoma au Mnyakyusa kutoka Mbeya?. Tupunguze haya mawazo finyu ya kikabila.
 
Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa

Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.

Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Wewee Jiwe alishakunya kwenye bakuli la vyeo vya kanda hiyo!
Hakuna sukuma gang tena kuingia kwenye system! Mlitutesa sana nyie washamba!
 
msukuma au kabila lolote utakuwa kiongozi kwa uwezo wako kulingana na mteuzi au kura za watanzania wenzako!!! hamna kabila maalumu kutoa viongozi hapa nchini.
 
Back
Top Bottom