Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule uhitaji wa kuitumia Kanda ya Ziwa kuinusuru CCM, kwa sasa haupo tena, ulikuwepo ile 2015 only, hivyo sio lazima Waziri Mkuu ajaye atoke Kanda ya Ziwa kwa vile kwenye oppostion, hakuna tena kitisho chochote kinachohitaji mbeleko ya Kanda ya Ziwa!.Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Mbona unaiangusha Kanda ambayo ndio imebeba tz karibia robo tatu. Sie sio wa waziri mkuu Bali ukuu ama uraisi ndio inastahili. Sema hizi stori huwa Zina create disunity among the society. Yaani kabila na dini Ni vitu viwili ambavyo nimekulia sehemu za mikusanyiko niliona vina madhara makubwa mno Basi. Nikiwa kiongozi wa nchi naondoa ama nafuta kabisa suala la makabila. Nitahakikisha kila darasana anakuwepo mtu wa kila mkoa ama wilaya Ila tuwe na strong unity ya kitaifa.Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
kanda ya ziwa tena? labda mzee Kitwanga.
mzee kitwanga yuko poa sana shida yake gambee tuu...“Lazima atoke…..”. Says who?
Waziri mkuu atatoka kokote
Dorothy kiukweli wizara ya Afya ili mshinda bhana... Hizi Mada ni za kawaida Sana ila sahvi watu wanaiangazia Sana nafasi ya uwaziri mkuu kwasababu majaliwa atamaliza kipindi cha pili 2025.. Na kama ujuavyo baada ya miaka 10 hatorudi tena kwene ofisi hiyo hiyo tenaKwenye serikali hii isiyo na tabia ya kuwajibishana kwa uzembe. Halafu unapoona kiongozi mmoja kila siku nafasi yake inawindwa kuna mawili; huyo mtu sio mlamba asali vizuri au awaivi na boss.
Yaani badala ya kuanzisha mada nani awe waziri wa nishati, maji, kilimo, uchukuzi na mambo ya ndani. Wizara ambazo failure zake zipo wazi. Ajabu ni kwamba kila siku inaanzishwa mada na kutafutwa sababu ya kuondolewa kwa PM.
Na walamba asali fitna wanaijua, Dorothy Gwajima aliondoka kwa mtindo huu afya. Majaliwa anatakiwa kuanza kupanga vilivyo vyake ofisini; jamaa awamtaki wanamtafutia sababu za yeye mwenyewe kujiudhuru.
Siyo tu Waziri Mkuu, bali hata Rais.Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Hatutaki majanga ya uonevu na ukabila tena, imetosha jamani tumeshajifunza.Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Safari hii atatoka kwenye Kabila dogo la Wasomali.😆😆😆CCM NI CHAMA MAKINI RAIS NA WAZIRI MKUU WATATOKA KWENYE MAKABILA MADOGO TENA YA KAWAIDA KABISA.
Hivi siasa za ukanda zimetoka wapi Tena? Mbona Chenge alitoka Kanda ya ziwa ndio katufilisi madini.... Muhongo Kanda ya ziwa tumepata Nini kwenye gesi licha ya kelele nyingi? Mpango katoka Kanda ya ziwa ila mbona ana underperform?
na Kama unadhani CCM inahitaji kura za Kanda ya ziwa kubaki madarakani unajidanganya tu.... 2025 kwa tume hii hii utashangaa Samia anapewa 90% kura za Geita!!
Ambacho kipo certain ni karata ya udini ndio itatumika 2025 Sio ukanda au Kabila. So upinzani wajipange hapo.
Kwamba Dotto au Bashungwa
Pengine atokee kule Gamboshi kutokana na sababu za kiufundi ambazo zimezoeleka na kuota mizizi ndani ya CCM.Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
una maanisha hii nchi isipokuwa na kiongozi wa juu msukuma au kutoka kanda ya ziwa haiwezi kuendelea?Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
Lema kamtajq nani?Yule ambae Lema anamtaja huko Twitter ni WA Kanda ya Ziwa?
SimbaLema kamtajq nani?