Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

kanda ya ziwa tena? labda mzee Kitwanga.
 
Atoke popote ukanda mwl. aliupiga marufuku, au unataka akapewe majaliwa wa precision air
 
Na Rais atatokea kanda ngani?
 
Hivi waziri mkuu huwa anatolewa tu rais akijiskia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwenye serikali hii isiyo na tabia ya kuwajibishana kwa uzembe. Halafu unapoona kiongozi mmoja kila siku nafasi yake inawindwa kuna mawili; huyo mtu sio mlamba asali vizuri au awaivi na boss.

Yaani badala ya kuanzisha mada nani awe waziri wa nishati, maji, kilimo, uchukuzi na mambo ya ndani. Wizara ambazo failure zake zipo wazi. Ajabu ni kwamba kila siku inaanzishwa mada na kutafutwa sababu ya kuondolewa kwa PM.

Na walamba asali fitna wanaijua, Dorothy Gwajima aliondoka kwa mtindo huu afya. Majaliwa anatakiwa kuanza kupanga vilivyo vyake ofisini; jamaa awamtaki wanamtafutia sababu za yeye mwenyewe kujiudhuru.
 

“Lazima atoke…..”. Says who?
Waziri mkuu atatoka kokote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…