Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

Patrobas Katambi anafaa sana
 
Ukanda unakusumbua sifa sasa ni kanda wala si weledi tena. Kila mtanzania anafursa ya kuongoza nchi hii sio lazima atoke kanda ya ziwa. Utafikiri wewe umewashikia kanda nzima kura zao.
 
Hivi siasa za ukanda zimetoka wapi Tena? Mbona Chenge alitoka Kanda ya ziwa ndio katufilisi madini.... Muhongo Kanda ya ziwa tumepata Nini kwenye gesi licha ya kelele nyingi? Mpango katoka Kanda ya ziwa ila mbona ana underperform?

na Kama unadhani CCM inahitaji kura za Kanda ya ziwa kubaki madarakani unajidanganya tu.... 2025 kwa tume hii hii utashangaa Samia anapewa 90% kura za Geita!!

Ambacho kipo certain ni karata ya udini ndio itatumika 2025 Sio ukanda au Kabila. So upinzani wajipange hapo.
 
Mpango hatoki kanda ya ziwa, pia 2025 kila kitu kinaenda kubadilika!
 
Tunaipumzisha kwamza CCM imetuchosha
 
Hayupo wa kulinusuru jahazi la CCCM kuzama.

Wao waseme tu "SWELAGA" yaishe.
 
Kwa hiyo watagawa ng'ombe za bure ama?
Hawa watapitisha muswada wa kukata miti yote
 
Mpango hatoki kanda ya ziwa, pia 2025 kila kitu kinaenda kubadilika!
Kanda ya ziwa ni definition ya maziwa makuu Ina include both Ziwa Tanganyika na Victoria unless mnataka kusema WASUKUMA ila Kanda ya ziwa is a broad term na hawapigi kura as a block mfano Kigoma, Kagera, Mara na Simiyu hupigia sana upinzani tokea 2000
-10 na Shinyanga, Mwanza na Geita zilirudi CCM 2015. So hii issue ya kusema Kanda ya ziwa this Kanda ya ziwa that haiko sawa.
 
Wanawaogopa viongozi kutoka kanda ya ziwa kwa sababu wapo serious na kodi za wananchi.
 
Achana na mawazo haya duni ya kikabila. Hizo kanda zingine hazina watu wenye uwezo wa kuwa waziri mkuu?.

Punguzeni hii superiority complex ina madhara yake hata kama tunayo makabila zaidi ya 120.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…