Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

kwanini kanda ya ziwa na sio kaskazini au magharibi au nyanda za juu kusini?
 
Ule uhitaji wa kuitumia Kanda ya Ziwa kuinusuru CCM, kwa sasa haupo tena, ulikuwepo ile 2015 only, hivyo sio lazima Waziri Mkuu ajaye atoke Kanda ya Ziwa kwa vile kwenye oppostion, hakuna tena kitisho chochote kinachohitaji mbeleko ya Kanda ya Ziwa!.
P
 
KURA AU WINGI WA WATU NI KAMA UREMBO TU, RAIS ATATOKA KATIKA MAKABILA MADOGO YALIYOPO BARA AMA VISIWANI,KANDA HIYO IMESHAPATA MPAKA RAIS INATOSHA ZIPO KANDA HALIJUI HILI.
 
Mbona unaiangusha Kanda ambayo ndio imebeba tz karibia robo tatu. Sie sio wa waziri mkuu Bali ukuu ama uraisi ndio inastahili. Sema hizi stori huwa Zina create disunity among the society. Yaani kabila na dini Ni vitu viwili ambavyo nimekulia sehemu za mikusanyiko niliona vina madhara makubwa mno Basi. Nikiwa kiongozi wa nchi naondoa ama nafuta kabisa suala la makabila. Nitahakikisha kila darasana anakuwepo mtu wa kila mkoa ama wilaya Ila tuwe na strong unity ya kitaifa.
Na kusini watadai Nini na magharibi je na central. Pia muasisi wa Taifa letu aliondoa suala hili mbona linataka kurudi.
Tuipiganie nchi yetu bila kujali mkoa ama kata gani tafadhali
 

Sema kwa wasukuma sio Kanda ya ziwa.
 
Dorothy kiukweli wizara ya Afya ili mshinda bhana... Hizi Mada ni za kawaida Sana ila sahvi watu wanaiangazia Sana nafasi ya uwaziri mkuu kwasababu majaliwa atamaliza kipindi cha pili 2025.. Na kama ujuavyo baada ya miaka 10 hatorudi tena kwene ofisi hiyo hiyo tena
 
Siyo tu Waziri Mkuu, bali hata Rais.
Huo ndio ukweli. Mimi nipo kusini, lakini watu wa Kanda ya Ziwa nimeona wana kitu fulani cha pekee kinachoweza kubadili kunusuru Taifa hili.
 
Hatutaki majanga ya uonevu na ukabila tena, imetosha jamani tumeshajifunza.
 
Nampendekeza Bashite Albert, the son of the late king... Prince Christian Paul Makonda kuwa Prime Minister mpya.
 
Tuache kufuru 2025 ni Mbali ya MUNGU Mengi kwani jpm alikuwa tar 17 March angetangazwa kasafiri KWA Baba mwenye enzi!!?
 
Pengine atokee kule Gamboshi kutokana na sababu za kiufundi ambazo zimezoeleka na kuota mizizi ndani ya CCM.
 
una maanisha hii nchi isipokuwa na kiongozi wa juu msukuma au kutoka kanda ya ziwa haiwezi kuendelea?
 
hivi mzee mizengo kayanza pinda katoka kanda ipi vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…