Kwahiyo alivyokuwa chadema ndo alikuwa na jipya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo alivyokuwa chadema ndo alikuwa na jipya?
Kweli ulidumu, ukayafanya mengi kwa chama; Lakini, Hawana Shukrani hao. Ndo maana ukahama. Sasa leo unarudi ili tu ukaombe kurudishiwa mashamba yako uliyojitwalia kimabavu ukiwa kiongozi?? Mbona walikunyang'anya ulipoondoka??Nimedumu ndani ya chama kwa muda mrefu nikaingia bungeni, kabla ya bungeni nilishika nafasi nyingi za uongozi katika CCM"
Hapoo sasa!!Kwahiyo alivyokuwa chadema ndo alikuwa na jipya?
Wapi mkuu??
hao ndio fisiemu viunu wanavikatia upepo unakoelekea...
Washasahau Mkuu... sasa ni vigelegele na shangwe...Hakuna jipya hapo zaidi ya nyinyi waramba miguu kuona aibu maana mlimtukana sana kipindi amehamia cdm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante. Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo. Yule aliyemnyan'ganya mashamba amrudishie sasa.Haya, wamrudishie yale mashamba yake sasa..