Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Hehehehe eti hakuna demokrasia kwani anadhani demokrasia ni kuogopana maana ake no hate no fear
 
Synthesizer,
Mbowe ameharibiwa mashamba na kuvunjwa kwa bilcana je amerudi CCM? That differentiates boys from men. Argue kivingine brother!
 
Speaking from the bottom line of this ❤ of mine, viongozi wote wakuu na wadogo wanatumia uhuru na demokrasia amani na uhuru wa nchi hii kuhama na kurudi tena.

Siasa za Tanzania ni nzur sana, ni rais jpm tu anaweza kuzitendea haki. Si unaona kampokea edo, oa kampokea huyu.

fromth r
 
Nimedumu ndani ya chama kwa muda mrefu nikaingia bungeni, kabla ya bungeni nilishika nafasi nyingi za uongozi katika CCM"
Kweli ulidumu, ukayafanya mengi kwa chama; Lakini, Hawana Shukrani hao. Ndo maana ukahama. Sasa leo unarudi ili tu ukaombe kurudishiwa mashamba yako uliyojitwalia kimabavu ukiwa kiongozi?? Mbona walikunyang'anya ulipoondoka??
Pole sana mkuu; Upinzani ni kujikana
 
Hongera Waziri wetu mkuu mstaafu , kwa maamuzi sahihi na wakati sahihi, ubarikiwe.
 
Shibe mwana malevya ila NJAA mwana malegeza.... Adui muombee njaa atanyosha mikono juu hata kama alikua shujaa
 
Mwalimu aliona mbali sana.
 

Attachments

  • VID-20200210-WA0006.mp4
    1,018.2 KB
Si hiari yao hawa, wanapata manyanyaso na vitisho sana. Huyu mashamba yake yamebewbwa yote, anachofanya ni kufanya damage control. inawezekana kabisa hata mafao yao yanatishiwa. tuko kwenye devilish era.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA walidai waziri mkuu mstaafu mh Frederick Sumaye alikuwa ametumwa ili kukivuruga chama hicho.Je dhamila yake hiyo imetimia?
 

Attachments

  • FB_IMG_15813483212685273.jpg
    FB_IMG_15813483212685273.jpg
    44.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom