IKEKERA
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 1,366
- 1,728
Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..
Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa.
Naomba usikatishwe tamaa na viongozi Wala rushwa na wazembe bali endelea hivyo hivyo