ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
kuna haja gani ya kuficha mkoa na kuweka x
Ni maigizo kama maigizo mengine.Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..
Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa.
Naomba usikatishwe tamaa na viongozi Wala rushwa na wazembe bali endelea hivyo hivyo
Kazi za katibu kata na za mjumbe wa nyumba 10?Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..