Jikite kwenye hoja
Mcheki live now anatatua kero za wananchi...he is very smart
Kuwa na msimamo basi! Nimcheki live au niwe Sadist?Ww lazima utakuwa sadist..
Hebu weka orodha ya utatuzi wake.Kiukweli pm unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..
Ukitangaza TU ziara sehemu yeyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa..
Naomba usikatishwe tamaa na viongozi Wala rushwa na wazembe bali endelea hivyo hivyo
Sure,Kiukweli pm unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..
Ukitangaza TU ziara sehemu yeyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa..
Naomba usikatishwe tamaa na viongozi Wala rushwa na wazembe bali endelea hivyo hivyo
M.B.W.AKiukweli pm unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..
Ukitangaza TU ziara sehemu yeyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa..
Naomba usikatishwe tamaa na viongozi Wala rushwa na wazembe bali endelea hivyo hivyo
Ye mwenyewe fisadi.Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi..
Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa.
Naomba usikatishwe tamaa na viongozi Wala rushwa na wazembe bali endelea hivyo hivyo
Hamna hoja hapo.Jikite kwenye hoja
Sasa hiyo kweli ni kazi ya alieamuwa kujiita Wazirimkuu?? Ni mangapi yanatokea kama hayo nchi nzima. Yule waziri wa mambo ya ndani aliejitutumua kutaka badirisha mfumo mbona walimtoa kazi yeye na Samia.Kuna hoja...Kuna jamaa alikamatwa na police na kunyang'wa kila kitu chake sasa pm ameagiza jamaa apewe kila kitu chake..huoni hio ni hoja?