Naamini huwalaumu wnanchi maana uongozi uliopatikana sidhani kama ni matokeo ya wananchi. Muhimu walioko madarakani wamegeuka ni wapiga dili za wazi. Saiamini kama jengo la miaka mitatu iliyopita leo hii linapukutika. Darasa moja linajengwa kwa milioni 20 kwa pesa za michango ya wananchi.5 tena 5 tena
Kufanya Jambo lile lile mara zote kisha utegemee matokeo tofauti ni UPUMBAVU
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Tanzania Ni Tajiri
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Alikataza Michango Yoyote, Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais, Tamisemi Yupo Wapi? Michango Yoyote Serikali Yetu Inatoa Cash
Au nasema uongo ndugu zangu?rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni Dr. John pombe magufuli, mtetezi wa wanyonge na mchapa kazi asiyechoka au nasema uongo ndungu zangu?
rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni Dr. John pombe magufuli, mtetezi wa wanyonge na mchapa kazi asiyechoka au nasema uongo ndungu zangu?
Ukiwaangalia watu hawa na lengo la kuwepo kwao, hata haieleweki. Hawana kazi hata majukumu kwa wananchi zaidi ya kuwasweka ndani kwa masaa. Sasa hili la michango wamepata sababu ya kutafuna pesa za wananchi. Zitaliwa ile mbaya!Waziri mkuu Majaliwa, kama hatabadili mtindo wa utendaji na kupata taarifa, basi tusitegemee chochote au lolote. Tusiwategemee wakuu wa wilaya ktk mambo muhimu kama elimu na madarasa. Wakuu wa Wilaya walio wengi ni watu wenye tabia zilizo hovyo kabisa, kama yule aliyeshiriki kugombania mwana-dada kule Kahama. Wa aina hiyo ni wengi wilayani, tena ni bora akina mama, Wanaume ubora ni hovyo kabisa kwa tabia ya wizi.
Michango kama hii kwa sasa, wanalazimisha wanavijiji kwa nguvu. Nguvu yaweza kuwa sawa tatizo pesa itaibiwa hadi mwakani tena.