Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Kama waliona msamala ni eneo karibu na jeshi basi wangejenga stand ktk viwanja vya nane nane alafu kule shule ya tanga ndio wangepeleka hayo maonesho ya nane nane ambayo yanafanyika mara1 ndani ya mwaka mzima.
Nakumbuka hili la 8 8 kuwekwa stand wengi waliliongelea, ila tatizo wananchi hawasikilizwi . Kero tyuuh .
 
Likizo zangu zote huwa huko na nanenepa kweli kweli nikirudi Dar kiufupi naweka mambo sawa niwe na makazi ya kudumu huko..Dar ibaki sehemu ya michongo tu.
[emoji3][emoji3][emoji3] unapazimikia Kwetu? Wee usiniambie lol.
Sema kule fursa za kutaftia pesa, hasa sekta ya kilimo.
 
Likizo zangu zote huwa huko na nanenepa kweli kweli nikirudi Dar kiufupi naweka mambo sawa niwe na makazi ya kudumu huko..Dar ibaki sehemu ya michongo tu.
Ila hata mie kwetu napapenda sana, na kila likizo lazima niende home. Tatizo kule kwetu hakubadiliki yaan lol.
 
Ndongosi ndo nyunbani kwa mama.
Kwa mama yako?..🤔 embu kwanza unaweza kuwa ndugu yangu kabisa wewe...😂😂maana wa ndongosi tunajuana na kulivyo kidogo😜😂😂😂
 
Wewe na wenzio ni wajinga tuu,stand ndio inaleta maendeleo au kupanga Mji? Ko ukitoa huduma inapooatikana na kupeleka maporini ambako hakumsaidii mwananchi ndio maendeleo mliyosoma nyie?

Ndio maana hata msukuma amewachana live na mamiradi yenu ya kijinga hayo.Upuuzi kama huu umefanyika na Songea stand iko kijijini na watu wamekataa kwenda
Hayo kaiambie serikali,,mimi waende wasiende siathiriki chochote na hata mgomo ukiendelea bado wapo wanaotoa huduma so wanaopoteza na wao wenyewe
 
Kwa mama yako?..[emoji848] embu kwanza unaweza kuwa ndugu yangu kabisa wewe...[emoji23][emoji23]maana wa ndongosi tunajuana na kulivyo kidogo[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaa usikute wee ni couzin ile real yaan. [emoji3059][emoji3059]
 
Nawapongeza wafanyabiashara kwa kufungua maduka,,bila shaka suluhu imepatikana,,kwenye taarifa za ndani plizi tupe mrejesho,,
 
Nawapongeza wafanyabiashara kwa kufungua maduka,,bila shaka suluhu imepatikana,,kwenye taarifa za ndani plizi tupe mrejesho,,
Umekaa kwa Majungu tu,waambie wakupe taarifa hao waliokuambia kutoka mjini hadi shule ya tanga klmt6
 
Mimi sio mzaliwa wa Songea..nimefika mikoa mbali mbali ila kule Moyo umeangukia pamoja na Mbeya
Ila hata mie kwetu napapenda sana, na kila likizo lazima niende home. Tatizo kule kwetu hakubadiliki yaan lol.
 
Umekaa kwa Majungu tu,waambie wakupe taarifa hao waliokuambia kutoka mjini hadi shule ya tanga klmt6
Jambo usilopenda kulisikia ni majungu,,basi vizuri,,hawa watu wamezoea kubembelezwa,,hakuna mkubwa kuliko taifa,,kanuni,,sheria na taratibu ni lazima zifuatwe,,
 
Jambo usilopenda kulisikia ni majungu,,basi vizuri,,hawa watu wamezoea kubembelezwa,,hakuna mkubwa kuliko taifa,,kanuni,,sheria na taratibu ni lazima zifuatwe,,
Sheria ndiyo inaruhusu kutowasikiliza wananchi wanataka nini?
 
Nauli kutoka mjini hadi shule ya tanga nauli shilingi 500 siyo kwa pesa mnayoisema
 
Back
Top Bottom