Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Wazee wa MbingaMwalule, Ndongosi, Muhukuru, Matimira, Peramiho, Parangu, Likuyufusi mpaka Maposeni

Acheni ubishi maendeleo haya vyama
Ahahahahahaaa apu te tibeli kyani..!!?? Ngati naha niwe nau belai, tikubesi lepi..
 
Hahahaha..sabasi anasaidia watu wa kule na yule mtume Petro sijui kama bado yupo..😀😀 kule mvua ikinyesha na zile kona kona ni balaa.

Ila naupenda mto wa askofu Jamani..😍
Daraja mto wa askofu mnavuka kwenye maji... Yaani.... Nimekumbuka PARADISO
 
Hebu nendeni hata Nzega mji mdogo sana lakini wamehamisha stendi tena walikohamishia hakuna miundombinu rafiki na bado wamefanikiwa,,maana nikisema Iringa ama Njombe mtasema miji mikubwa,,maendeleo ni gharama,,ukihisi shughuli unayoifanya haikulipi kwa sababu ya kutoshushwa abiria mjini badili au nenda unakohisi kunalipwa ,,hakuna mtu kafungwa wote tupo huru.
Wewe na wenzio ni wajinga tuu,stand ndio inaleta maendeleo au kupanga Mji? Ko ukitoa huduma inapooatikana na kupeleka maporini ambako hakumsaidii mwananchi ndio maendeleo mliyosoma nyie?

Ndio maana hata msukuma amewachana live na mamiradi yenu ya kijinga hayo.Upuuzi kama huu umefanyika na Songea stand iko kijijini na watu wamekataa kwenda
 
Msamala kuna mwendo kidogo.

Any ways ndio gharama za maendeleo hizo.

Mji nao utakua huko mbeleni yatajatokea haya ya Ubungo na Dash lam yake.
Stand haileti maendeleo wala kuleta ustawi wa maisha ya watu,ni mawazo ya kijinga tuu.

Unakopa mabilioni kujenga stand ,huu kama sio wehu ni nini? Hawa ndio wasomi wa Tzn hii
 
Waziri Mkuu naomba nikumbushe suala la stendi mpya.

Mara ya mwisho unafika Songea ulikuta mgogoro wa stendi mpya iliyojengwa kilo mita 20 mbali na mji.

Ulipokuwa Songea uliagiza mkuu wa mkoa na watendaji wa serikali wakae na wadau wa usafirishaji wajadili changamoto na waweze kuzitatua.

Naomba nikupe taarifa maagizo hayo hayajatekelezwa hadi leo hii.

Wafanyabiashara wa manispaa ya songea wameona wafanye mgomo wa kutofungwa maduka na wasafirishaji kuto toa huduma za usafiri hadi hapo serikali itakapo kaa na wadau kujadili matatizo yanayowakabili.

Leo 22/2/2021 maduka yote yamefungwa katika manispaa ya songea na daladala zote zimesimama hazitoi huduma.magari yote yaendayo pembezoni mwa manispaa hayatoi huduma.

Je, baada ya kuwachagua madiwani na wabunge wa CCM hamuoni umuhimu wa kuwatetea wananchi wenu? au hadi Rais aje ndio atatue suala hili?

Waziri Mkuu agizo lako lilikuwa la siasa tu maana hadi leo halitekelezeki.
Halafu hili suala nililiona kule nikawa nawaza hivi waliwaza nini? Ikafika pahala wakaanzisha ka system eti ni lazima ushuke stendi yaani mfano uwe unakwenda Morogoro na unapitia barabara ya morogoro road umefika chalinze inakubidi ushuke kwasababu kituo cha basi kipo hapo angali gari inaelekea Morogoro mjini kwanini wasikushushe mahala husika kwa kosa tu eti ni lazima ushuke stendi..... Hivi walishindwa nini ile stendi kuijenga pale majengo sokoni angali pana eneo kubwa na ni mjini wakaenda kuijenga msamala......

Niliwahi kukutana na hiki kituko nikatukana konda kwasababu unanishushaje porini angali nashukia mjini na yeye anaenda mjini?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kukutana na hiki kituko nikatukana konda kwasababu unanishushaje porini angali nashukia mjini na yeye anaenda mjini?[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ndio wasomi wanaosomeshwa kwa kodi zetu,kisha wakipata ajira wanatutesa walipa kodi
 
Halafu hili suala nililiona kule nikawa nawaza hivi waliwaza nini? Ikafika pahala wakaanzisha ka system eti ni lazima ushuke stendi yaani mfano uwe unakwenda Morogoro na unapitia barabara ya morogoro road umefika chalinze inakubidi ushuke kwasababu kituo cha basi kipo hapo angali gari inaelekea Morogoro mjini kwanini wasikushushe mahala husika kwa kosa tu eti ni lazima ushuke stendi..... Hivi walishindwa nini ile stendi kuijenga pale majengo sokoni angali pana eneo kubwa na ni mjini wakaenda kuijenga msamala......

Niliwahi kukutana na hiki kituko nikatukana konda kwasababu unanishushaje porini angali nashukia mjini na yeye anaenda mjini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunalipa kodi kodi zetu zinasomesha wataalam hatimaye wanapata ajira wanakuja kututesa walipa kodi
 
Wazee wa MbingaMwalule, Ndongosi, Muhukuru, Matimira, Peramiho, Parangu, Likuyufusi mpaka Maposeni

Acheni ubishi maendeleo haya vyama
Mpitimbi, Litapwasi, Lipaya, Kilagano, Mgazini,
Woyooooooooooh
 
Unasemea msamala?
Songea hakuna ongezeko wala population kubwa, nashangaa sana stand kupelekwa mbali vile, halafu sasa abiria anayetoka njia ya Dar, analazimika kushuka pale then achukue usafiri mwingne had town centre, tena km ni usku tabu tupu.

Serikali iliangalie hili kwa jicho pana, wanaoumia ni wananchi wa kawaida.
Kama waliona msamala ni eneo karibu na jeshi basi wangejenga stand ktk viwanja vya nane nane alafu kule shule ya tanga ndio wangepeleka hayo maonesho ya nane nane ambayo yanafanyika mara1 ndani ya mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom