Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Msamala kuna mwendo kidogo.Hawaruhusiwi kupakia abiria ktk ofisi zao,
Any ways ndio gharama za maendeleo hizo.
Mji nao utakua huko mbeleni yatajatokea haya ya Ubungo na Dash lam yake.
Msamala kuna mwendo kidogo.Hawaruhusiwi kupakia abiria ktk ofisi zao,
😂😂😂 Fokulendi😋kheee.... Litimba, kuchihoro, kuluhowo, kungomachini, kufokulendi... khoha nimeli kojima... nikumanyi, animal kuhika
Yes imepelekwa maeneo Yale ulipokuwepo mzani wa kwanza (Shule ya Tanga)Naomba kuuliza,mara ya mwisho kufika songea(2019) stendi mpya ilikuwa Msamala,Ni kwamba imesogezwa mbali zaidi sio Msamala tena?
😂😂 Ndongosi ndiyo kwetu mdogo wangu..kwa Baba..lituhi kwa MamaHadi ndongosi wakujua [emoji23][emoji23][emoji23]
Wangeruhusu mabasi yashushe na kupakia hapo mjini then yaelekee huko shule ya Tanga wanakotaka serikali mabasi yaende.Sawa huenda upo sahihi,,cha msingi washawishi wenye mamlaka kwa kuonesha ni kwanini hatupaswi kuacha kuitumia stendi ya mjini,,ili wabadili maamuzi ya awali
Nilipita juma pili pale Ndongosi nilivyokuwa naelekea Nambendo.[emoji3][emoji3]
Mfaranyaki..mjimwema..ndongosi..lituhi kote kwetu.
Umeona palivyodorora eeeh 😀Nilipita juma pili pale Ndongosi nilivyokuwa naelekea Nambendo.
Yaan ni vile bas tyuuh kwetu, ila kubaya bhana na maendeleo duni, viongozi nao hawana muda wao buzzy kula mema ya nchi.
Lituhi kuna mabasi fulani yana rangi ya njano ni mazuri kishenz. Huwezi kuamini yanatembea kwenye road ya vumbi😂😂 Ndongosi ndiyo kwetu mdogo wangu..kwa Baba..lituhi kwa Mama
heee!!! Yaani msamala wamehamisha tena. Huko shule ya Tanga mbona ni mbali sana.Yes imepelekwa maeneo Yale ulipokuwepo mzani wa kwanza (Shule ya Tanga)
Itakuwa mabasi ya sabasi hayoLituhi kuna mabasi fulani yana rangi ya njano ni mazuri kishenz. Huwezi kuamini yanatembea kwenye road ya vumbi
Ndongosi mbele ya Rwanda.... Wa mmanda pure wenga...!! Unikombwisi mbelele, mbasa ni lighandu...😂😂 Ndongosi ndiyo kwetu mdogo wangu..kwa Baba..lituhi kwa Mama
Kabisa... Kabla ya mabasi hayo, nilipanda sana ile TOYOTA STOUT ya MADEBE..... wakati huo, kuanzia Ndongosi hadi pale mkwenye kamlima unapoanza kuuona mto Luhuhu ilikuwa ni balaa... mawe, kiona kali....Itakuwa mabasi ya sabasi hayo
Na wewe wa Ndongosi?Hadi ndongosi wakujua [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Ndongosi mbele ya Rwanda.... Wa mmanda pure wenga...!! Unikombwisi mbelele, mbasa ni lighandu...
Hahahaha..sabasi anasaidia watu wa kule na yule mtume Petro sijui kama bado yupo..😀😀 kule mvua ikinyesha na zile kona kona ni balaa.Kabisa... Kabla ya mabasi hayo, nilipanda sana ile TOYOTA STOUT ya MADEBE..... wakati huo, kuanzia Ndongosi hadi pale mkwenye kamlima unapoanza kuuona mto Luhuhu ilikuwa ni balaa... mawe, kiona kali....
Ahahahahaahaa Kulikuwa na Landrover moja dereva alikuwa anaitwa NDIU... yaani akifika NKONGOTINGISHA utamsikia... MUKAMULISAI HENU NILONDA KUVURUMISHA...😂😂
Yeah rwanda..nkongotingisha..ndongosi hii hapa...manda pureee bila kupepesa macho