D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,958
- 1,190
- Thread starter
- #181
Ushawahi kupanda superfeo toka songea kwenda dar kupitia iringa?je ulipofika ubungo walikulazimisha kushuka wakati unashukiwa k/koo?Sawa mimi ni kiazi wewe endelea na mgomo,,hivi hoja yako ya msingi iliyokupelekea kugoma ni ipi? kama ni kushusha abiria mjini,,je ni mji gani ambao abiria wanashushwa mjini baadala ya stendi kuu? kama hakuna kwanini nyie Songea mnalazimisha magari makubwa kuingia mjini?