Waziri Mkuu: Tumesikia mijadala, hofu kuhusu makubaliano ya Bandari. Tumeanza kutoa elimu ya kuwapa faraja Watanzania

Waziri Mkuu: Tumesikia mijadala, hofu kuhusu makubaliano ya Bandari. Tumeanza kutoa elimu ya kuwapa faraja Watanzania

Tunaweza kuokota mawili matatu kutoka kwenye hotuba ya Putin aliyoitoa Leo huko kwao katika suala hili.
=====
“I can see that some really interesting new things have emerged. It’s a treat to watch, and hopefully not just to watch but also to wear and use.”

Putin called for the creation of an economy that produces its own modern goods, services, and technology instead of consuming foreign, imported products.

He stressed the importance of helping domestic producers to promote their products, so that Russia will have brands that are well known both within the country and globally.
 
"Elimu ya kutoa faraja" hii elimu huja wakati gani?

Kama ni baada ya maumivu, sioni maana ya kupewa hiyo elimu, muhimu ni kuwaondolea watanganyika kilichowasababishia hayo maumivu.
 
"Elimu ya kutoa faraja" hii elimu huja wakati gani?

Kama ni baada ya maumivu, sioni maana ya kupewa hiyo elimu, muhimu ni kuwaondolea watanganyika kilichowasababishia hayo maumivu.

Ajabu ni kwamba haongelei vipengele tata ila anaongea watu watulie na Serikali itarekebisha mambo? Ila naamini kuwa anajua kuwa tunacho kisikiliza ni uongo kwani tayari wameshasaini mkataba na Bunge rimeridhia
 
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini

Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzani

Hii Elimu ingetolewa kabla yakusaini mktaba . Professional rabish at work.

Kizuri cha jiuza . Kibaya cha jitembeza
Kweli kabisa
 
Haikuwa fix, alikuwa hajui
Kama waziri mkuu alikuwa hajui kitu kama kile... basi atakuwa sio waziri mkuu bali Bawasiri Mkuu

Kuna uwezakano hata hili na DPW pia nalo halijui. Bora ajinyamazie tu kama Makamu wa Rais
 
Tujikumbushe.

Ijumaa Tarehe 12 Machi 2021 huyu Majaliwa aliwaambia Watanzania kwamba Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi.

Huyu ni mtu wa kumuamini kweli?

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini

Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
View attachment 2672919
Waziri Mkuu,elimu ya kuwapa faraja Watanzania, hatuhitaji.

Tunahitaji marekebisho makubwa kwenye huo mkataba.

Pia mwambie Mh Rais azungumze na Taifa awaeleze wananchi kuhusu mikataba 36, aliyoisaini Dubai, na ule mkataba aliousaini

Rostam Marekani yeye akawa ana angalia tu, huu hapa👇👇👇
 
Attachments

  • 3C72C602-1EA9-4B51-B254-16CA15B2ADAE.jpeg
    3C72C602-1EA9-4B51-B254-16CA15B2ADAE.jpeg
    81.5 KB · Views: 2
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini

Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
View attachment 2672919
nadhani inatakiwa kufika mahali wajue kuwa, wao kuwepo pale sio kwamba wanao uwezo zaidi ya watanzania wote kuongoza au kufanya maamuzi. wengi wapo pale kwa bahati tu na wasijione wana akili kuliko wengine. ukikosea unatakiwa kukubali na kurekebisha, maisha yanaendelea, sio kuendelea na msimamo wako as if wewe ndio una uelewa bora kuliko watanzania wote. ndio maana watu wanaamini kuna mkono wa pesa hapo ili piga uwa mkataba ubaki vilevile.
 
Sidhani kama ntapata muda wa kuusoma huo mkataba lakini nikikumbuka migodi, gas, vilivyopambwa na kuambiwa gas ikifika Dar tu bei ya umeme itapungua!!!!naamini lazima tutapigwa tu na huyo mwarabu, miaka kumi ijayo tutatafutana tu
 
Kama waziri mkuu alikuwa hajui kitu kama kile... basi atakuwa sio waziri mkuu bali Bawasiri Mkuu

Kuna uwezakano hata hili na DPW pia nalo halijui. Bora ajinyamazie tu kama Makamu wa Rais
PSU wana nguvu ya kuzuia hata Waziri Mkuu kuonana na Rais.
Boss wa PSU ndiye anayepanga ratiba zote za Waziri, Makamu, Rais

Kumbuka Waziri alitupwa Njombe, Makamu akapelekwa Tanga siku 7
 
PSU wana nguvu ya kuzuia hata Waziri Mkuu kuonana na Rais.
Boss wa PSU ndiye anayepanga ratiba zote za Waziri, Makamu, Rais

Kumbuka Waziri alitupwa Njombe, Makamu akapelekwa Tanga siku 7
Ukiona hivyo ujue kuna tatizo kubwa sana pale... Waziri Mkuu ni mtu mkubwa sana. Anawasiliana na bosi wake wakati wowote anaotaka.... Anyways basi tufanye alikuwa hajui, yaishe.

Ila mi najua yule ni mzee wa mafiksi sana
 
Back
Top Bottom