Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Yaani kila akisimama msikitini tu ladhima ajichanganyetu🤣🤣🤣Bora alivyokuwa ameamua kukaa kimya muda wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kila akisimama msikitini tu ladhima ajichanganyetu🤣🤣🤣Bora alivyokuwa ameamua kukaa kimya muda wote.
Tapeli kweli kweli. Au nasema uwongo ndugu zangu?!Kutupa faraja tena? Faraja ya nini kama wanajiamini ni jambo jema kwa.maslahi mapana ya taifa?
"Elimu ya kutoa faraja" hii elimu huja wakati gani?
Kama ni baada ya maumivu, sioni maana ya kupewa hiyo elimu, muhimu ni kuwaondolea watanganyika kilichowasababishia hayo maumivu.
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzani
Kweli kabisaHii Elimu ingetolewa kabla yakusaini mktaba . Professional rabish at work.
Kizuri cha jiuza . Kibaya cha jitembeza
Hili nalo wakalifanyie kazi...Tapeli kweli kweli. Au nasema uwongo ndugu zangu?!
Kutoka unyongeni mpaka kufarijiwa...Walituita wanyonge,sasa wanaona tunahitaji faraja.
Wanatudanganya afu kumbe kumbukumbu hawana....Hata Mimi nimeshangaa tunapewaje faraja hapa!!?
Mimi namsubiria mbunge huku Mbeya aje atueleze tulimtuma bungeni kwa kazi gani kama katiba inavyoelekeza!?Hata Mimi nimeshangaa tunapewaje faraja hapa!!?
Kama waziri mkuu alikuwa hajui kitu kama kile... basi atakuwa sio waziri mkuu bali Bawasiri MkuuHaikuwa fix, alikuwa hajui
Waziri Mkuu,elimu ya kuwapa faraja Watanzania, hatuhitaji.Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
View attachment 2672919
KabisaHaaminiki,
Hana uzalendo wowote.
Sema tu mambo ya connection.
Lakini alipaswa kuwa alishajiuzuru zamani
nadhani inatakiwa kufika mahali wajue kuwa, wao kuwepo pale sio kwamba wanao uwezo zaidi ya watanzania wote kuongoza au kufanya maamuzi. wengi wapo pale kwa bahati tu na wasijione wana akili kuliko wengine. ukikosea unatakiwa kukubali na kurekebisha, maisha yanaendelea, sio kuendelea na msimamo wako as if wewe ndio una uelewa bora kuliko watanzania wote. ndio maana watu wanaamini kuna mkono wa pesa hapo ili piga uwa mkataba ubaki vilevile.Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
View attachment 2672919
PSU wana nguvu ya kuzuia hata Waziri Mkuu kuonana na Rais.Kama waziri mkuu alikuwa hajui kitu kama kile... basi atakuwa sio waziri mkuu bali Bawasiri Mkuu
Kuna uwezakano hata hili na DPW pia nalo halijui. Bora ajinyamazie tu kama Makamu wa Rais
Ukiona hivyo ujue kuna tatizo kubwa sana pale... Waziri Mkuu ni mtu mkubwa sana. Anawasiliana na bosi wake wakati wowote anaotaka.... Anyways basi tufanye alikuwa hajui, yaishe.PSU wana nguvu ya kuzuia hata Waziri Mkuu kuonana na Rais.
Boss wa PSU ndiye anayepanga ratiba zote za Waziri, Makamu, Rais
Kumbuka Waziri alitupwa Njombe, Makamu akapelekwa Tanga siku 7