Waziri Mkuu: Tumesikia mijadala, hofu kuhusu makubaliano ya Bandari. Tumeanza kutoa elimu ya kuwapa faraja Watanzania

Waziri Mkuu: Tumesikia mijadala, hofu kuhusu makubaliano ya Bandari. Tumeanza kutoa elimu ya kuwapa faraja Watanzania

W
Kama anajitambua, atazingatia ushauri wako. Lakini hawa bwana huwa wanaamini kwa vile wana madaraka, basi wana akili sana.
Afu wenye akili wapo nje ya system. Hii inaanza na inaendelea kujidhihirisha, ni suala la muda tu maana muda ni shahidi mzuri mno.
 
Haki zote kwa mwarabu, wajibu wote kwa mdanganyika.....by prof. shivji.....halafu tuanaambiwa kufarijiwa.
 
Wakishaharibu, wanamtuma Majaliwa ajiabishe mbele za watu kusawazisha.
 
Back
Top Bottom