Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hahahaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu waziri mkuu mzima kweli? Yaani majibu ya ubovu wa mkataba wa DP World ni elimu ya faraja kwa wananchi?
Afu wenye akili wapo nje ya system. Hii inaanza na inaendelea kujidhihirisha, ni suala la muda tu maana muda ni shahidi mzuri mno.Kama anajitambua, atazingatia ushauri wako. Lakini hawa bwana huwa wanaamini kwa vile wana madaraka, basi wana akili sana.