..i totally agree with you.
..hapa nadhani Viongozi wa dini wachukue hatua wao wenyewe wasisubiri kuamriwa na serikali.
Wanaopangiwa ratiba na kuzitii ni hayo Makanisa na misikiti ya sisiemu, hapa namaanisha CCT & BAKWATA members only.Twende twende twende.
Hii imeonyesha wazi kuwa dini faida yake ni kustaarabisha jamii tu.
They can't do far from that.
Watu wa dini wangekuwa wanaweza kufanya zaidi ya hilo wasingepangiwa ratiba
Makanisa yamebadili utaratibu wanafundisha tuition.Sunday school sio sawa na madrasa. Sunday school huebda na ibada za watu wazima. Mzazi akitoka ibada anaondoka ba ntoto wake kwenda home
Msitupotoshe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia viongozi gani wa dini bwashee?Nadhani ni suala la viongozi wa dini kuutambua mtego huu. Hasa huu mpango wa ccm kutaka kuchezea box kura uchaguzi ujao, namna pekee viongozi wa dini wenye nia njema wanaweza kujilinda na hiyo rushwa ya kimfumo, ni kusitasha ibada zao. Kinyume na hapo watakuwa wamezibwa midomo kwa uhuni utakaofanyika kwenye uchaguzi mkuu.
Unazungumzia viongozi gani wa dini bwashee?
Zitto ameshauri marufuku ya Bar na vilabu vya pombe za kienyeji mfano Mbege!
Nimekubali uwazili ni cheo cha kupewajohnthebaptist,
Kwamba ibada zikifanyika kwa muda mfupi ndio CORONA haiwezi kusambaa makanisani na msikitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah Mnamuwaza Mbowe mnatamani awe bwana wenu! Mnaharibu hata maaana ya thread! Active kwanini wasipigwe Ban hawa wapuuzi? Tunazungumzia issue serious sana za kusitishwa kwa Sunday Schools na Madrasa halafu anaibuka anakuja na ujinga ujinga
India waumini waliondolewa kwa bakora msikitini!Hivi haya maviongozi ya dini yasiyo na uelewa hayaoni aibu kuendelea na ibada? Yani sijui wamepewa tu akili za kuwaza sadaka! Na watu wanaoenda huko makanisani na misikitini kwa kipindi hiki wanajielewa kweli? Emb tujiongeze bwana. Vitu vingine ni aibu tena kubwa.
Sidhani kama watakuelewa.......labda yule Shoo.Hawa hawa wa Tanzania.
It is logical...identify and contain au wewe unataka sisi wa Dar tufe au tueneze kwa wengine walio salama mikoani!Je Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu anastock ya kumtosha miaka 4 kulaJe Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app