Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

..i totally agree with you.

..hapa nadhani Viongozi wa dini wachukue hatua wao wenyewe wasisubiri kuamriwa na serikali.

Nadhani ni suala la viongozi wa dini kuutambua mtego huu. Hasa huu mpango wa ccm kutaka kuchezea box kura uchaguzi ujao, namna pekee viongozi wa dini wenye nia njema wanaweza kujilinda na hiyo rushwa ya kimfumo, ni kusitasha ibada zao.

Kinyume na hapo watakuwa wamezibwa midomo kwa uhuni utakaofanyika kwenye uchaguzi mkuu.
 
Wanaopa
Twende twende twende.

Hii imeonyesha wazi kuwa dini faida yake ni kustaarabisha jamii tu.
They can't do far from that.

Watu wa dini wangekuwa wanaweza kufanya zaidi ya hilo wasingepangiwa ratiba
Wanaopangiwa ratiba na kuzitii ni hayo Makanisa na misikiti ya sisiemu, hapa namaanisha CCT & BAKWATA members only.

Kwa Makanisa na misikiti ya mwendo kasi hawawezi kuwapangia ratiba na wakaitii, Mtanielewa baadae
 
Nilichomwelewa Waziri Mkuu ni kuwa...

-Watoto sasa wajichanganye pamoja na watu wazima katika ibada, maana ibada ya watoto wenyewe tu ina hatari ya kuambukizana Corona!

-Ibada zilizokuwa zinatumia kwa mfano masaa manne, kwa sasa zitumike masaa manne kasoro!

-Mikusanyiko yote ya watu yenye misingi ya kiimani au kibiashara iendelee kama kawaida maana haina athari zozote za kuambukizana Corona!
 
Nadhani ni suala la viongozi wa dini kuutambua mtego huu. Hasa huu mpango wa ccm kutaka kuchezea box kura uchaguzi ujao, namna pekee viongozi wa dini wenye nia njema wanaweza kujilinda na hiyo rushwa ya kimfumo, ni kusitasha ibada zao. Kinyume na hapo watakuwa wamezibwa midomo kwa uhuni utakaofanyika kwenye uchaguzi mkuu.
Unazungumzia viongozi gani wa dini bwashee?
 
Hivi haya maviongozi ya dini yasiyo na uelewa hayaoni aibu kuendelea na ibada? Yani sijui wamepewa tu akili za kuwaza sadaka! Na watu wanaoenda huko makanisani na misikitini kwa kipindi hiki wanajielewa kweli? Emb tujiongeze bwana. Vitu vingine ni aibu tena kubwa.
 
lukesam,
Wakijiongeza ushukuru! Ijumaa, Jumamosi na Jumapili si mbali. Tz ina viongozi wenye vichwa vigumu sana.
 
Marufiku kuni koti mimi wala usijipendekeze Kwangu

Active angekuwa na akili kama za kwako unadhani Jamii forum ingekuwa hapa?

Ukishindwa hoja kaa utulie sio unajipendekeza kwangu kwanza sikujui


Acha shobo na mimi, Jamii forum sio mali ya Chadema
Hahahah Mnamuwaza Mbowe mnatamani awe bwana wenu! Mnaharibu hata maaana ya thread! Active kwanini wasipigwe Ban hawa wapuuzi? Tunazungumzia issue serious sana za kusitishwa kwa Sunday Schools na Madrasa halafu anaibuka anakuja na ujinga ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi haya maviongozi ya dini yasiyo na uelewa hayaoni aibu kuendelea na ibada? Yani sijui wamepewa tu akili za kuwaza sadaka! Na watu wanaoenda huko makanisani na misikitini kwa kipindi hiki wanajielewa kweli? Emb tujiongeze bwana. Vitu vingine ni aibu tena kubwa.
India waumini waliondolewa kwa bakora msikitini!
 
Bia yetu,
Unijue ili iweje ndugu? Mbona umepaniki? Relax maisha hayako hivyo! Nenda kwenye setting then ni-ignore ili nisikuone, otherwise nitaendelea kila utakapopost upupu! Vipi niendelee??
 
lukesam,
Serikali inaona aibu gani kusema hayo...wao wameshasema wanafuata maelekezo ya serikali.
 
Back
Top Bottom