Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

Hautakiwi kuamini chochote Kwa sabb, miaka yooote hiii, ulikuwa unaongoza kusema kuwa Ajira hakuna, Magufuli hajaajiri, Iweje uanze kuuliza Nani wa kuaminiwa katika idadi ya ajira zilizotengenezwa?

Lakini pia, Nadhani Ulimi wa Rais uliteleza
 
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana mheshimiwa, mkuu, mtukufu rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Laki sita kwa ekschenji reti ni sawa na milioni sita, ni sawa tu.
Sangara wamefikia ukubwa wa sentimita 25!
 
Back
Top Bottom