Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Sentimita 25!Nilicheka Sana, ni moja ya ilani, kuongeza urefu wa sangara.
Sentimita 25!Nilicheka Sana, ni moja ya ilani, kuongeza urefu wa sangara.
Yesu Yuko frustrated deshideshi Maria anaumwa, Yesu kaomba tumuombeeSasa kama Yesu na watu wake wanaanza kutoongea lugha moja si mnara wa babeli utaanguka sasa.
Maria Magdalena??Yesu Yuko frustrated deshideshi Maria anaumwa, Yesu kaomba tumuombee
Hawa jamaa sijui huwa wanatuchukuliaje?!!Msemaji mkuu wa serikali: Kwa miaka minne iliyopita serikali imeidhinisha Tz shs. Trilioni 126.4 zitumike kwenye miradi mbalimbali.
CCM HOYEEEEE
MATAGA HOYEEEE
MAUONGO JUUUU
Kumbe ndio maana walikuwa wanapima samaki kwa ruler!![emoji1][emoji1][emoji1]Sangara wamefanikiwa kuongezeka urefu pia
Wewe mwenyewe Muongo unayegemea nini?Nchi hii imejengwa KWENYE misingi ya uongo, uchawi na ufisadi.
Rais- hakuna Corona
Waziri Mkuu- Kuna wagonjwa 66
Waziri wa afya- Kuna wagonjwa wanne
😀😀na bado Slowslow hajaja na takwimu zake.
Pia kuna msg inazunguka WhatsApp inawaaminisha watu, YouTube wamesema hotuba ya jana ya kufunga bunge, imeangaliwa na watu mil600..😀
Maraisi 80 na mpaka mabeberu maraisi jana hawakuwa na shughuli zaidi ya kuangalia ile hotuba...
Sijui kwanini tunajiendesha kwa kujifinya na kujitekenya!
Everyday is Saturday...........................😎
[emoji23]Wanajamba kisha wanawasha feni
Mkuu ajira milion 6.5+ na bado unazurura na bahasha?!! We ni mchochezi first class...tutakushughulikiaMkuu, inatia huzuni sana, watu tunatembea na bahasha za vyeti mwaka wa 5 huu
Kwa kuwa shetani ni baba wa uongo basi anayemtanguliza hapo amejiweka wazi mchana kweupe mbele ya makamera.Kati ya viongozi hawa wawili kuna mmoja anamtanguliza mungu katika kazi zake na mwingine anamtanguliza shetani
Naam! Imekuwa kama ulivyodhaniaKwa kuwa shetani ni baba wa uongo basi anayemtanguliza hapo amejiweka wazi mchana kweupe mbele ya makamera.
Ndio msingi wa Taifa letuWewe mwenyewe Muongo unayegemea nini?
Mama yakeMaria Magdalena??
Everyday is Saturday......................... 😎
Dah nimecheka kwa sauti aiseeWanajamba kisha wanawasha feni