Jana nilimsikiliza Jiwe nikasema hiiiiiiii
Hivi wewe mzee Ajira milioni sita unazijua au unazisikia?, ungetengeneza ajira hata milioni moja vijana wetu wasingekuwa na msoto mkali kitaa!!
Jamaa jana alikuwa anatupiga fiksi hivi hivi Live kwa kutaja minamba mikubwa mikubwa kwenye mafanikio yake kumbe kamba tupu!
Jiwe linadai biashara ya nje imekua kuliko kipindi ilivyokuwa kipindi cha JK, hiyo ni kamba nyingine katupiga, takwimu za BOT zinaonyesha exports zimekuwa zikishuka kwenye miaka ya hivi karibuni.
Jiwe anafikiri Tanzania ya leo ni sawa na ile ya zamani alipozowea kutupiga kamba kutwambia idadi ya samaki waliozaliwa baharini na ziwani kumbe kamba tupu