Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Hata ukizidharau ndio watanzania wengi wanategemea
basi kama ni hivyo sawa, aongeze na wauza ubuyu!
Hata ukizidharau ndio watanzania wengi wanategemea
Sababu alikuwa bize kumshughulikia mbowe kuliko kutatua shida za watz.Magu kwa ajira kateleza sana,anahitaji msaada.
Serikali ndio utengeneza maisha ya watu waweje.Wawe masikini ili iwatawale vizuri au wawe na Neema ili wakuze uchumiNa wenye hasira wengi ni nyinyi msio na ajira
Upuuzi tu nani aliwaambia serikali kazi yake kuajiri
Kipimo rahisi usingeona machinga wamezagaa Hadi kuzuia njia mijini.Sijawahi kuamini TAKWIMU zozote kutoka sirikalini ,Usifanye mchezo na ajira laki 6.5 achilia mbali milioni 6 plus!! Yaani sirikali ingetoa hizo ajira feki laki 6 na nusu usingeshuhudia vijana wakizunguka na mifuko ya khaki Town.
Propaganda na Hali halisi ni vitu tofautiMara tumejenga km 7400 za lami(PM) bosi wake 3400km, yaani nchi ya ajabu sn
In sawa lakini kama bajeti ya mwaka huu ni trilioni 34 Mara 4 ni sawa na trilioni 136,Ha ha ha ha mkuu trillion ngapi?
Kwa hiyo wewe msukuma wa Masanzu ndo umeuona ulimi huo ukiteleza lakin daktari, wanasaikolojia wanao kaa naye hawajui.Hautakiwi kuamini chochote Kwa sabb, miaka yooote hiii, ulikuwa unaongoza kusema kuwa Ajira hakuna, Magufuli hajaajiri, Iweje uanze kuuliza Nani wa kuaminiwa katika idadi ya ajira zilizotengenezwa?
Lakini pia, Nadhani Ulimi wa Rais uliteleza
mambo ya hovyo snPropaganda na Hali halisi ni vitu tofauti
Ujiamini mwenyeweWaziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.
Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Masanzu kama iko Tanzania hakuna shida mkuu, shida ni pale utapoanza kujiona wewe ni zaidi ya watu wanaokaa Masanzu, ndio kinachowakuta wenzetu huko Marekani, kule kujiona wengine sio wa maanaKwa hiyo wewe msukuma wa Masanzu ndo umeuona ulimi huo ukiteleza lakin daktari, wanasaikolojia wanao kaa naye hawajui.
Wamezitengeneza huko mbinguni kwa baba mkifa kwa njaa mtazikuta tele.Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.
Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Ulimi uliteleza kwenye nini ?Hautakiwi kuamini chochote Kwa sabb, miaka yooote hiii, ulikuwa unaongoza kusema kuwa Ajira hakuna, Magufuli hajaajiri, Iweje uanze kuuliza Nani wa kuaminiwa katika idadi ya ajira zilizotengenezwa?
Lakini pia, Nadhani Ulimi wa Rais uliteleza
Kwenye kutamka no idadi ya nafasi zilizotengenezwa za Ajira mkuu
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.
Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
In sawa lakini kama bajeti ya mwaka huu ni trilioni 34 Mara 4 ni sawa na trilioni 136,
Kati ya yesu na Yohane mbatizajiWaziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.
Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?