Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Hizi takwimu mh!
 
Kwa hotuba yake kuna ajira laki 6 kazitaja na kuna ajira millioni 6 pia katika kurasa tofauti za hotuba.

Usitake kuhamisha magoli tuambie hizo millioni 6 kazitengenezea wapi mbinguni kwa baba ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ni swali gumu mkuu, nadhani yeye anajua, yeye ndio huletewa taqwimu

Hivi si ni pamoja na wale wenye biashara ndogondogo waliopewa vitambulisho vya ujasiliamali sindiyo?

Nchi nzima unadhani wafanya biashara wadogowadogo wanaweza kufika wangapi? Milioni sits yenyewe ndogo
 
Alivyowafanyia watumishi hakika Mungu yupo.Miaka yote 5 ni kapa huku wakidhalilika kwa hali ngumu ya maisha huko mtaani.Poleni walimu,madaktari,wauguzi etc
 
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Laiti ungelijua hizo ajira wanamanisha nini,ungelia machozi,hawamaniishi ajira zenye pensheni kama za TRA,Alaf,au AZAM,au vodacom,hapa wanamaanisha hata wale vibarua wanaobeba kokoto kujenga SGR,pamoja na mama ntilie,ndio hizo laki 6,unakuta Luna ajira za maana zenye mishahara minono kama 50,harafu zingine ni vibarua watupu
 
Ni swali gumu mkuu, nadhani yeye anajua, yeye ndio huletewa taqwimu

Hivi si ni pamoja na wale wenye biashara ndogondogo waliopewa vitambulisho vya ujasiliamali sindiyo?

Nchi nzima unadhani wafanya biashara wadogowadogo wanaweza kufika wangapi? Milioni sits yenyewe ndogo
Kabla hajawapa vitambulisho zilikuwa ni kazi zao utasema ni ajira mpya hizo ?

Halafu kwenye hotuba yake kasema hilo categorically kuhusu utambuzi wa hizo biashara ndogo ndogo.

Refer MKURABITA
 
Aktuale, alisema ni sentimita ni 25.20. Japo hapa Mwanza nawaona wa cm 10, cm 50 na hata makubwa ya mita 1 hivi.
Huyo wa sentimita 25 ndiye kiwango cha juu kabisa! Sikuamini kwani ninaonunua Dar ni wakubwa sana zaidi ya futi mbili.
 
CCM hawakuwahi kuwa wakweli kwenye jambo lolote lile lenye manufaa na nchi hii, haswa huyo bwana kiongozi wa malaika ni muongo aliyekubuhu.

Ooh urais mgumu,mara paa anakwenda kuchukua fomu,

Ama kweli alama za mtu mnafiki tatu,akiongea huongea uongo,anapohaidi jambo atimizi na anapoaminiwa anafanya hiyana.

Kiufupi kiongozi wa malaika namuweka kwenye kundi la mtu mnafiki.
tapatalk_1592078437645.jpg
 
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Wote hao wamehusika kuficha takwimu za corona na hakuna anayestahili kuaminiwa.
 
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Viwanda 8000 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom