Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Kwa hiyo mnadhani kupotosha na kusema uongo kutainusuru Chadema? Hotuba ya waziri mkuu ipo kwenye tovuti ya bunge. Hakuna mahala alipozungumzia ajila laki sita. Acheni upuuzi. Mmekosa hoja za kujadili?
 
Nilicheka Sana, ni moja ya ilani, kuongeza urefu wa sangara.
We una akili au mjinga? Hujui kuwa ilani ya Ccm ilikuwa na mpango wa kudhibiti uvuvi haramu. Na kwa sababu hiyo ukubwa wa samaki umeongezeka baada ya kudhibiti nyavu zisizotakiwa ambazo hutumika kuvua hata samaki wadogo. Alafu unajifanya unajua. Hivi mbona mmejazana wote vichwa maji?
 
Hawanaga aibu hawa kwenye kudanganya.
Huo ndo uzakendo wa wanachama wa CCM na viongozi wao. Kwao ukweli si uzalendo bali ni usaljti na msema kweli yeyote hutumiwa wasiojulikana wamshughulikie mpaka asijulikane alipo au aonekane akiwa ndani ya kiroba ufukweni. Wapinzani pekee ndo wasema ukweli wa mambo yote na yanayowapata sote tunayajua.
 
😀😀na bado Slowslow hajaja na takwimu zake.

Pia kuna msg inazunguka WhatsApp inawaaminisha watu, YouTube wamesema hotuba ya jana ya kufunga bunge, imeangaliwa na watu mil600..😀
Maraisi 80 na mpaka mabeberu maraisi jana hawakuwa na shughuli zaidi ya kuangalia ile hotuba...

Sijui kwanini tunajiendesha kwa kujifinya na kujitekenya!

Everyday is Saturday...........................😎
Walivyo mbumbumbu wanadhani dunia yote Ina muda sawa na Tanzania au wote ni wachawi Kama wao kiasi kwamba waache usingizi wao waje wasikilize rais wa shithole
 
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Lugha gongana ndiyo mtindo wao,moja anaongea kisukuma na mwingine kimawia.Nipo tayari kukosolewa.Lakini hawa jamaa wanatatizo kubwa,Corona kulikuwa na wagonjwa 4&ndani ya wiki moja wanasema wapi 66.
Ukiwaamini CCM unapotea mazima.
 
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Mara tumejenga km 7400 za lami(PM) bosi wake 3400km, yaani nchi ya ajabu sn
 
Nchi hii imejengwa KWENYE misingi ya uongo, uchawi na ufisadi.
Rais- hakuna Corona
Waziri Mkuu- Kuna wagonjwa 66
Waziri wa afya- Kuna wagonjwa wanne
Hahahahahaa ili jambo la corona mm nimeamua kuziba masikio tu maana ukiisikiliza serikali utabaki unacheka ... yani apo tushukuru Mako.n.da ameamua kukausha tu maana nina uhakika angekua na idadi yake na yy
 
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Waziri mkuu alisema kabla ya rais inamaana alisema zilizochini ya wizara za ofisi ya wazili mkuu
 
Waziri Mkuu alimaanisha Tanzania wakati Rais aliongelea duniani 😉 . Nadhani itakuwa hivyo.

Back
Top Bottom