Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

chawa wa mama

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
292
Reaction score
1,087
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.

Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
 
Msemaji mkuu wa serikali: Kwa miaka minne iliyopita serikali imeidhinisha Tz shs. Trilioni 126.4 zitumike kwenye miradi mbalimbali.

CCM HOYEEEEE
MATAGA HOYEEEE
MAUONGO JUUUU
Ha ha ha ha mkuu trillion ngapi?
 
Hautakiwi kuamini chochote Kwa sabb, miaka yooote hiii, ulikuwa unaongoza kusema kuwa Ajira hakuna, Magufuli hajaajiri, Iweje uanze kuuliza Nani wa kuaminiwa katika idadi ya ajira zilizotengenezwa?

Lakini pia, Nadhani Ulimi wa Rais uliteleza
 
Laki sita kwa ekschenji reti ni sawa na milioni sita, ni sawa tu.
Sangara wamefikia ukubwa wa sentimita 25!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…