babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hivyo ni vinchi ambavyo nimepitapita tu.Ndiyo unajiona umetembea saaana kwa hivyo vijimiji vyako vitatu ? Hayo matusi yako kwangu bado hayamfanyi mturuki kuwa ndiye mwarabu. Kasome tena kwa Nabii wako TIto. Yaani utembee Uturuki na Dubai uone mturuki ni mwarabu ππππ
Sikushangai ikiwa biblia yenu iko hivi na huyo mnayemfanya mungu ndio yuko hivyo
View attachment 2898388
hujapita popote hata hapa zanzibar hujawahi fika wacha kujipakazia , yaani hata Mturuki unashindwa kumtofautisha na Mwarabu , kakojowe ukalaleHivyo ni vinchi ambavyo nimepitapita tu.
Nikitaja zote si utazimia.
Namna3 Lakini wote Si eunuch?
Towashi na Shoga ni watu wawili tofauti
Matowashi wengi walikua aidha Mawaziri wakuu, watu wa karibu sana na Wafalme au wale kwenye makwaya na band za Watawala, sifa yao kuu walikua na sauti nyepesi isiyo na base...Si ndio nashangaa kuna mwamba hapo juu anasema eti wanahasiwa ili watumkie bwana. Kwani mapadri wanahasiwa? Mbona wanatumikia vipi kuhusu Buddha n.k
Towashi na Shoga ni watu wawili tofauti
Wewe ni Zero brain π§Kama towashi ni mtu aliyehasiwa na mtu huyo biblia inasema haruhusiwi kuingia katika mkutano wa Bwana ,
Nitajie mtu mmoja aliyekuwa towashi katika kanisa lenu kwa tafsiri hiyo ya towashi uijuayo wewe
Shukrani sana , Sasa tulia bila jaziba ujibu swaliWewe ni Zero brain π§
Umepewa tafsiri usome uelewe unaishi kuzungusha dish tuu, bye.
Kuna aina tatu za utowashi.Towashi hana maamuzi ni anahasiwa, ushawahi kuhasi mnyama kama ng'ombe au mbwa? Ni huruma kwani anapoteza hisia zote.
Mapadre hawaoiTuambie towashi mmoja wa kanisa lenu tokea upate akili yako
Wale ambao hawajahasiwa je.Shukrani sana , Sasa tulia bila jaziba ujibu swali
Kama towashi ni mtu aliyehasiwa, na mtu huyo biblia inasema haruhusiwi kuingia katika mkutano wa Bwana ,
Nitajie mtu mmoja aliyekuwa towashi katika kanisa lenu kwa tafsiri hiyo ya towashi uijuayo wewe?
kukatwa mirija ipi ?? au ndio castrated ??
Mapadri ni matowashi?Mapadre hawaoi
Ukihasiwa , biblia inasema usiingie katika mkutano wa BwanaTowashi na ushoga ni watu wawili tofauti.
Biblia imesema towashi na sio shoga.
Ushoga ni dhambi utoashi sio dhambi kwa maana kuoa au kutooa sio dhambi.
Kanisa lako linawaita Hao ni matowashi?Wale ambao hawajahasiwa je.
Mfano mapadre mbona wamejaa mikononi mwa bwana