Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Umenukuu biblia ipi ?? mbona nyengine zimeandikwa vyengine ??

Una uhakika gani paulo aliandika hayo uliyoyanukuu ??

mbona Biblia imeandika vyengine huku

View attachment 2897713
Wewe ndiyo mwongo mfano hapo Ruth 1:14 haisemi hicho ulichoambiwa hapo; badala yake imeamdika;
“Again they wept loudly, after which Orʹpah kissed her mother-in-law and departed. But Ruth stuck with her.”
 
Umenukuu biblia ipi kati ya biblia zaidi ya elfu zilizo tofauti?
 
Eunuch anakuwa vipi eunuch au towashi , towa maelezo please
Shoga ni mwanaume aliyeamua kuingiliwa.
Towashi ni mwanaume aliyeamua kutooa au kuzini na wanawake Ili awe bize na KAZI ya Mungu mfano mapadre,au walio zaliwa hivyo au waliofanywa hivyo na wanadamu mfano watumwa nchi za uarabuni waliwaasi wanaume ili wasizae na wake au mabinti za mabosa zao.
Hata Kamuzu Banda alifanywa towashi akiwa daktari wa malikia ili asimzalishe ikawa aibu.
 
Hakuna cha ajabu hapo Kwa wazungu, hiki ndicho wanachokipigania.

images (3).jpeg
images (2).jpeg

Hao pia ni wazungu?
 
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.

Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa cha Rais Emmanuel Macron cha Renaissance na kundi la Renew katika Bunge la Ulaya, anachukua nafasi ya Catherine Colonna katika mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofuatia kujiuzulu kwa waziri mkuu wa zamani Elisabeth Borne siku ya Jumatatu.

Waziri huyo mpya wa mambo ya nje mwenye umri wa miaka 38 alikuwa mshauri wa Macron tangu akiwa Waziri wa Uchumi na Fedha, kisha akajiunga na timu yake mwaka 2014 na kubaki naye katika katika kampeni za uchaguzi wa Rais mwaka 2017.

Macron alimteua Attal kuchukua nafasi ya Borne siku ya Jumanne, na kumfanya kuwa waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nchini Ufaransa na aliyejitangaza hadharani pia kuwa anajihusisha na maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja. Kabla ya kuteuliwa kuwa waziri mkuu, Attal aliwahi kuwa Waziri wa Elimu.

Itakumbukwa kuwa baada tu ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, alichukua hatua ya kupiga marufuku wanafunzi wasichana Waislamu kuvaa vazi la Abaya maskulini.

Attal na Sejourne walianzisha rasmi mahusiano yao ya kingono mwaka 2017 kupitia 'ufungishaji ndoa' wa kiraia na kuyatangaza hadharani mwaka uliofuata, wakati Attal alipojitokeza hadharani na kujitangaza kuwa ni 'shoga'.

Hata hivyo, mnamo mwezi Oktoba, Attal alidai katika tamko rasmi juu ya migongano ya masilahi kwa Mamlaka ya Juu ya Uwazi katika Maisha ya Umma kwamba hakuwa na mshirika rasmi katika mahusiano ya kingono, ingawa yeye na Sejourne hawajawahi kutangaza hadharani kuwa wametengana kisheria.

Huko nyuma mnamo mwaka 2018, Attal aliwahi kuwa msemaji wa chama cha Macron kwa muda wa miezi 10, wakati huo kikiitwa La Republique en Marche baada ya kukihama Chama cha Kisoshalisti miaka miwili mapema ili kumuunga mkono Macron katika kinyang'anyiro cha kuwania urais.

Mabadiliko ya baraza la mawaziri aliyofanya Emmanul macron siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita, yameelezewa kama juhudi za rais huyo wa Ufaransa za kuokoa umashuhuri unaodidimia wa serikali yake.
Mke wa M7 ni Waziri wa Elimu 🤪🤪
 
Hakuna andiko hio waebrania 19;10-12 ikimtaja shoga,bali imetaja towashi.
Towashi ni mwanaume aliyeamua kutojihusisha na mambo ya wanawake ili afanye KAZI ya Mungu.
Mfano mapadre,mitume zama za Yesu.
Towashi wapo WA aina tatu,wa kuzaliwa,kuhasiwq na kuamua wenyewe .
Wa kufanywa na watu ni waliohasiwa yaani kuondolewa uwezo wa kuzaa hii ilifanyika kwa walinzi wa wafalme,wafanyakazi wa wafalme ili wasizae na familia ya wafalme,hata watumwa walihasiwa,hata kamuzu Banda alihasiwa ili asizae na malkia.
Sasa mashoga wanataka kudandia treni.
Kutojihusisha na wanawake hakumaanishi we ni shoga.
Ushoga ni ugonjwa wa akili.
Huu utowashi sijui unini ndio unafanya mpaka mnaambiwa mubarikiane huko makanisa
Mwanaume kamili kujihusisha na mwanamke au wanawake ni ibada pia mhim tu ufuate taratibu na sheria
Eti usijihusishe na wanawake kwa kazi ya Mungu
Dini yenu ina matatizo makubwa sanaaaaaaaa
 
Ngono sio hitaji la mwili Bali ni akili huwez tumikia mabwana wawili kwa pamoja
 
Kakwambia nani mke au mume ni hitaji la mwili na akili ya ke au me yeyote alojamilika
Yaani kama ndio akili zenu hizi papa atawapelekesha sanaaaaaaaa
 
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.

Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa cha Rais Emmanuel Macron cha Renaissance na kundi la Renew katika Bunge la Ulaya, anachukua nafasi ya Catherine Colonna katika mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofuatia kujiuzulu kwa waziri mkuu wa zamani Elisabeth Borne siku ya Jumatatu.

Waziri huyo mpya wa mambo ya nje mwenye umri wa miaka 38 alikuwa mshauri wa Macron tangu akiwa Waziri wa Uchumi na Fedha, kisha akajiunga na timu yake mwaka 2014 na kubaki naye katika katika kampeni za uchaguzi wa Rais mwaka 2017.

Macron alimteua Attal kuchukua nafasi ya Borne siku ya Jumanne, na kumfanya kuwa waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nchini Ufaransa na aliyejitangaza hadharani pia kuwa anajihusisha na maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja. Kabla ya kuteuliwa kuwa waziri mkuu, Attal aliwahi kuwa Waziri wa Elimu.

Itakumbukwa kuwa baada tu ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, alichukua hatua ya kupiga marufuku wanafunzi wasichana Waislamu kuvaa vazi la Abaya maskulini.

Attal na Sejourne walianzisha rasmi mahusiano yao ya kingono mwaka 2017 kupitia 'ufungishaji ndoa' wa kiraia na kuyatangaza hadharani mwaka uliofuata, wakati Attal alipojitokeza hadharani na kujitangaza kuwa ni 'shoga'.

Hata hivyo, mnamo mwezi Oktoba, Attal alidai katika tamko rasmi juu ya migongano ya masilahi kwa Mamlaka ya Juu ya Uwazi katika Maisha ya Umma kwamba hakuwa na mshirika rasmi katika mahusiano ya kingono, ingawa yeye na Sejourne hawajawahi kutangaza hadharani kuwa wametengana kisheria.

Huko nyuma mnamo mwaka 2018, Attal aliwahi kuwa msemaji wa chama cha Macron kwa muda wa miezi 10, wakati huo kikiitwa La Republique en Marche baada ya kukihama Chama cha Kisoshalisti miaka miwili mapema ili kumuunga mkono Macron katika kinyang'anyiro cha kuwania urais.

Mabadiliko ya baraza la mawaziri aliyofanya Emmanul macron siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita, yameelezewa kama juhudi za rais huyo wa Ufaransa za kuokoa umashuhuri unaodidimia wa serikali yake.
Hawa watu wanacheza na mavi sana. Yaani ni balaa. Mungu hatawaacha salama.
 
Kakwambia nani mke au mume ni hitaji la mwili na akili ya ke au me yeyote alojamilika
Yaani kama ndio akili zenu hizi papa atawapelekesha sanaaaaaaaa
Mwili unao namna yake ya kujicontrol hata usipofanya ngono,ni uamuzi TU kama matowashi wanavyoamua kutofanya ngono Hadi kifo.
 
Back
Top Bottom