Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Ndiyo unajiona umetembea saaana kwa hivyo vijimiji vyako vitatu ? Hayo matusi yako kwangu bado hayamfanyi mturuki kuwa ndiye mwarabu. Kasome tena kwa Nabii wako TIto. Yaani utembee Uturuki na Dubai uone mturuki ni mwarabu 😝😝😝😝
Hivyo ni vinchi ambavyo nimepitapita tu.
Nikitaja zote si utazimia.
 
Hivyo ni vinchi ambavyo nimepitapita tu.
Nikitaja zote si utazimia.
hujapita popote hata hapa zanzibar hujawahi fika wacha kujipakazia , yaani hata Mturuki unashindwa kumtofautisha na Mwarabu , kakojowe ukalale
 
Screenshot_20240209_194620_WhatsApp~2.jpg

Hapo tunatakiwa tuelekeze wapi akili zetu?

CC: Bwana Utam
 
Si ndio nashangaa kuna mwamba hapo juu anasema eti wanahasiwa ili watumkie bwana. Kwani mapadri wanahasiwa? Mbona wanatumikia vipi kuhusu Buddha n.k
Matowashi wengi walikua aidha Mawaziri wakuu, watu wa karibu sana na Wafalme au wale kwenye makwaya na band za Watawala, sifa yao kuu walikua na sauti nyepesi isiyo na base...
Wengi waliofanywa kuwa matowashi ni ili kuwazuia wasiwape ujauzito wake au mabinti wa Wafalme.
 
Towashi na Shoga ni watu wawili tofauti

Kama towashi ni mtu aliyehasiwa na mtu huyo biblia inasema haruhusiwi kuingia katika mkutano wa Bwana ,

Nitajie mtu mmoja aliyekuwa towashi katika kanisa lenu kwa tafsiri hiyo ya towashi uijuayo wewe
 
Kama towashi ni mtu aliyehasiwa na mtu huyo biblia inasema haruhusiwi kuingia katika mkutano wa Bwana ,

Nitajie mtu mmoja aliyekuwa towashi katika kanisa lenu kwa tafsiri hiyo ya towashi uijuayo wewe
Wewe ni Zero brain 🧠
Umepewa tafsiri usome uelewe unaishi kuzungusha dish tuu, bye.
 
Wewe ni Zero brain 🧠
Umepewa tafsiri usome uelewe unaishi kuzungusha dish tuu, bye.
Shukrani sana , Sasa tulia bila jaziba ujibu swali

Kama towashi ni mtu aliyehasiwa, na mtu huyo biblia inasema haruhusiwi kuingia katika mkutano wa Bwana ,

Nitajie mtu mmoja aliyekuwa towashi katika kanisa lenu kwa tafsiri hiyo ya towashi uijuayo wewe?
 
Towashi hana maamuzi ni anahasiwa, ushawahi kuhasi mnyama kama ng'ombe au mbwa? Ni huruma kwani anapoteza hisia zote.
Kuna aina tatu za utowashi.
1.Kuzaliwa huna hisia au uwezo wa kuzalisha
2.Kuamua mwenyewe kuishi maisha matakatifu ukiwa rijali,hasa wanaojitoa kwa KAZI ya Mungu.
3.Kufanywa na wanadamu,hawa uhasiwa.
 
Shukrani sana , Sasa tulia bila jaziba ujibu swali

Kama towashi ni mtu aliyehasiwa, na mtu huyo biblia inasema haruhusiwi kuingia katika mkutano wa Bwana ,

Nitajie mtu mmoja aliyekuwa towashi katika kanisa lenu kwa tafsiri hiyo ya towashi uijuayo wewe?
Wale ambao hawajahasiwa je.
Mfano mapadre mbona wamejaa mikononi mwa bwana
 
Towashi na ushoga ni watu wawili tofauti.
Biblia imesema towashi na sio shoga.
Ushoga ni dhambi utoashi sio dhambi kwa maana kuoa au kutooa sio dhambi.
 
Towashi na ushoga ni watu wawili tofauti.
Biblia imesema towashi na sio shoga.
Ushoga ni dhambi utoashi sio dhambi kwa maana kuoa au kutooa sio dhambi.
Ukihasiwa , biblia inasema usiingie katika mkutano wa Bwana
Kinyume na tafsiri yako ya towashi
 
Back
Top Bottom