Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Bro sijakuelewa, unaongelea wenye akili au mashoga. Kwa sababu mimi nimewasoma kina Galileo, Newton, Einstein, Darwin, Plato, Aristotal nk hawakuwa mashoga

Wengine wanasema Newton ,


Kuhasiwa ndio nini , mimi kiswahili hichi kinanipiga chenga , nieleweshe tafadhali
 
Wengine wanasema Newton ,



Kuhasiwa ndio nini , mimi kiswahili hichi kinanipiga chenga , nieleweshe tafadhali
Kuondolewa uwezo wa kumpa mimba mwanamke zipo njia nyingi,mfano kukata,kufunga mrija ili mbegu za kiume zisiweze kusafiri kutunga mimba
 
Super Genius

Sasa mbona mnawafunga jela badala ya ku explore na ku - utilize their genius
 
Ujinga mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…