Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Kumbe hujui kuwa Yesu aliongelea kuhusu eunuchs, halafu kwa ujinga wako ukaleta habari ya gays ukidhani kuwa Yesu alilenga gays 😂😂
Unaweza kuingia Google huko utapata maelezo mengi kuhusu eunuch anakuwa vipi eunuch, kila kitu kipo wazi huko jiongeze upate kujua
Google kila kitu kiko wazi na ndiko nilipoona kuwa eunuch ni gays , 😛 😛 😛