Kumbe hujui kuwa Yesu aliongelea kuhusu eunuchs, halafu kwa ujinga wako ukaleta habari ya gays ukidhani kuwa Yesu alilenga gays ππ
Unaweza kuingia Google huko utapata maelezo mengi kuhusu eunuch anakuwa vipi eunuch, kila kitu kipo wazi huko jiongeze upate kujua
Hiyo aya haijaanzia hapo soma sura nzima acha kunukuu aya moja ili ueneze uongo, Biblia sio Quran babu π
Hata kuperuzi hujui?Mbona hujajibu swali langu , huyo Towashi au eunuch anafanywa kitu gani hata akawa eunuch ??
Ukikua utaacha utoto.Google kila kitu kiko wazi na ndiko nilipoona kuwa eunuch ni gays , π π π
Hata kuperuzi hujui?
Upo hapa kusubiri jibu ambalo unalo?
Acha utoto
Ufaransa ilikua zamani sasa imekua kama nchi ya Africa,uchafu kila kona,,,kunguni,mbu,,,kazi shida, mpaka wenyeji wanalia wanaandamana wahamiaji haram warudishwe makwao,,,huko Italy ndio hatari boti kama zote za wakimbizi,,,huko UK sasa kama bara la Asia limehamia kule mitaa full kunuka masala kama kisutu,,,video ya mpemba analalamika huko Uk //x.com/radiogenoa/status/1754745343479067014?s=46 si bora kubaki bongo tu
Ufaransa ilikua zamani sasa imekua kama nchi ya Africa,uchafu kila kona,,,kunguni,mbu,,,kazi shida, mpaka wenyeji wanalia wanaandamana wahamiaji haram warudishwe makwao,,,huko Italy ndio hatari boti kama zote za wakimbizi,,,huko UK sasa kama bara la Asia limehamia kule mitaa full kunuka masala kama kisutu,,,video ya mpemba analalamika huko Uk
View: https://x.com/radiogenoa/status/1754745343479067014?s=46 si bora kubaki bongo tu
Wafiraji na wafwiraji wanatajwa wazi katika Biblia na adhabu yao imewekwa wazi kabisa kwamba wataangamizwa.Ni kweli Quran sio biblia lakini mbona google inasema hapo zamani hao unaowaita Eunuch wakiitwa gays kwani jina la gays ni la hivi karibuni
Jibu hili swali
Mtu anafanywa nini hata anaitwa eunuch ??
Wafiraji na wafwiraji wanatajwa wazi katika Biblia na adhabu yao imewekwa wazi kabisa kwamba wataangamizwa.
Waliohasiwa pia wanaelezewa kwa uwazi zaidi katika Biblia, na hakuna adhabu yoyote inayowahusu watu Waliohasiwa iwe kwa hiari ama kwa kulazimisha.
Wewe ni mtu mtu unayesoma Biblia kama mtoto huelewi unachosoma na unakazanania jambo kitoto toto kisa umelitoa katika Biblia π¬
Utoto unakusumbua ila Ukikua utaacha utoto.
Endelea kusoma utapata majibu hukoUmesahau uliniambia niingie google ??
google inasema Eunouchizo or eunuch is used historically and in scripture to refer to castrated men
Ina maana walitolewa korodani , au vipi mkuu ??
Angalia dhamira ni nini?
Mtu akiwa eunuch siyo shoga. Kuna mashoga ambao hata siyo walio hasiwa.
mbona nimesoma nikakuandikiaEndelea kusoma utapata majibu huko
Na papa anakibariki....laanaHakuna cha ajabu hapo Kwa wazungu, hiki ndicho wanachokipigania.
What did you understand after reading it?eunuch is used historically and in scripture to refer to castrated men
What did you understand after reading it?
Is it important that you even read it?Mbona unakimbiaaaaaaaaa ????
nimesoma
eunuch is used historically and in scripture to refer to castrated men
jee waliwacastrate vipi kwa kuwatoa korodani ??
Unakimbia kitu gani hapo ??
Is it important that you even read it?
Unasoma halafu unashindwa kuelewa, how old are you?UNAENDELEA KUKIMBIAAAAAAAAA ????
nimesoma
eunuch is used historically and in scripture to refer to castrated men
jee waliwacastrate vipi kwa kuwatoa korodani ??
Unakimbia kitu gani hapo ??