ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Haya mambo mbona hayakuwa makubwa kama leo hata huko ulaya miaka 100,50 iliyopita.Sio kweli.
Ngono ni maamuzi ya akili na sio mwili,mbona jela watu wanakaa hata miaka bila ngono Wala kujichua.
Ni vile TU akili ulivyoiseti.
Maana mwili unayo namna yake ya kujicontrol bila kuingiza.
Nafikiri shida ni mitandao, internet, imesaidia sana kukuza haya mambo.