Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

Kwenye vita lazima wanajeshi watakufa hakuna ajabu apo, swali la kujiuliza Lengo la Putin limetimia jibu ni kwamba halijatimia
Ishu hapa sio wanajeshi kufa, ishu ni idadi kiduchu inayoripotiwa na Ukraine na vyombo vya magharibi ambayo haiakisi kile tunachokiona kikiendelea (kuomba msaada wa raia wa nchi husika na duniani kote wasio na ujuzi wa mapambano wakapewe bunduki wasaidie jeshi la Ukraine)
 
Hata urusi wanareport wanajeshi waliokufa ni wachache point kwamba kila mmoja hawez sema ukweli
 
Ujinga mtupu.
 
Mkuu ukisema hiyo quotation aliyonukuu ni wazi askari wa pande zote mbili wamefakiri,yeye alichokieleza sijui kakikwapua wapi. Jamii forums kuna wakati mtu unapaswa kupotezea baadhi ya watu, unaweza kuta unabishana na vijana wa MEMKWA.
Nyie ni wazito sana kuelewa maandiko, nachelea kuwaita vilaza. Yaani mnashindwa kuelewa maandishi hata topic ya mada husika!
 
Hata urusi wanareport wanajeshi waliokufa ni wachache point kwamba kila mmoja hawez sema ukweli
Sawa tufanye wanajeshi wa Urusi wamekufa weengi, ni wapi umeona wamelalama na kuomba msaada kwa raia wake wakasaidie au washirika wake wakasaidie?

Jitahidi kusoma matukio na kuyatafakari ili uelewe ukweli wa kinachosemwa/kuripotiwa
 
Sawa tufanye wanajeshi wa Urusi wamekufa weengi, ni wapi umeona wamelalama na kuomba msaada kwa raia wake wakasaidie au washirika wake wakasaidie?

Jitahidi kusoma matukio na kuyatafakari ili uelewe ukweli wa kinachosemwa/kuripotiwa
Mim sijasema kwamba wanajeshi wa urusi wamekufa wengi kwa hiyo acha kunlisha maneno hiyo umesema, kwenye vita wanajeshi wa pande zote wamefariki kujua idadi ni ngumu na kila hawez sema ukweli tatizo lako kila habari unaiokota
 
Zelensky anataka vijana wa Afrika wasafiri wakapewe silaha na kuwa MERCENARIES😳😳

Daah kweli hatari sana...

Bora Tanzania yetu iendelee hivihivi na amani yake!

#Siempre JMT🙏
 
Muda ni kila kitu. Jana Ukraine wamepewa muda kuondoa raia kiev. Kitakachofuata sisi hatumo.

Aendelee na comedy zake ku.
Huyu jamaa Zelensky anashangaza sana 🤣🤣

Kwa kuwa familia yake haipo Ukraine basi roho za wengine hazimhusu.....
 
Source ya hii habari sababu hakuna sehemu yeyote imeripotiwa, Ukraine waondoke waende wapi Ile ni nchi yao

Mtu aje Tanzania atuambie ondoken Tanzania kirahisi rahisi tumtii maisha sio marahisi hivyo
kwa tanzania bila kuambiwa mshachochora tanzania hii mnaogopa hata kuandamana mkihofia mabomu ya machozi ndo uone mzinga useme utabakii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mshabiki wa Putin huyo!
 
Zelensky anataka vijana wa Afrika wasafiri wakapewe silaha na kuwa MERCENARIES[emoji15][emoji15]

Daah kweli hatari sana...

Bora Tanzania yetu iendelee hivihivi na amani yake!

#Siempre JMT[emoji120]

Utashangaa. Kwa jinsi serikali zenu zinavyowakausha vijana wenu kwa njaa, wakielekezwa namna ya kwenda Ukraine watakavyokimbilia fursa. Wengi wako tayari kuishi jela Marekani kuliko kuwa huru katika mitaa yenu! Can you imagine?

Btw, wanakufa kwa mamia wakivuka jangwa la Sahara, mateso ya Libya, bahari ya Mediterranean kukimbilia Ulaya.
 
Zaidi ya wanajeshi 70 wa Ukraine wameuawa hivi punde kwa mabomu ya Russia yaliyopigwa kwenye kambi ya jeshi huko Okhtyrka, mji uliopo kati ya Kharkiv na Kyiv. Hayo amesema Mkuu wa mkoa huo kupitia mtandao wa Telegram

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…