Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

mbona hakuna sehemu aliyosema maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa? mbona habari inaandikwa kishabiki sana
Mkiu sasa kama umeshindwa kung'amua hata hilo hiyo kauli ya waziri huyo mkuu kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa na majeshi ya Russia, mie nitakusaidie vipi?

Mbona jambo hilo lipo wazi, au umezoea kutafuniwa na kumezeshwa?

Anyway jaribu kusoma tena (kwa kushughulisha bongo) maelezo hasa maneno ya waziri mkuu huyo.
 
Hata urusi wanareport wanajeshi waliokufa ni wachache point kwamba kila mmoja hawez sema ukweli

Aliyetingwa ndiye anayeomba msaada DUNIA imsaidie,nadhani hapa UKRANE na WASHIRIKA wake wametingwa🤣🤣
 
Zelensky jana katanda idadi halisi ya wanajeshi wa Russia wapatao 4600 pia wamekwenda na maji ni vizuri kubalance hizi story ili watu wakaelewa kwa pande zote jumla jumla, huyu waziri wa bulgaria ana sumu ya Putini kichwani mwake inamuenenda
 
Hizo stori za kutunga z Zelensky ambaye kila wakati adanganya danganya utazichukua wewe
 
Hahahah 😁😁😁😁😁😂😂😂😂, kwa hiyo hivyo vistiki vya kutuulia sisi? Ngoja tudondoshe kitu hapo kinachoitwa GLORY TO GOD ile inatembeaga chini ya maji tu
 
Mkuu ukisema hiyo quotation aliyonukuu ni wazi askari wa pande zote mbili wamefakiri,yeye alichokieleza sijui kakikwapua wapi. Jamii forums kuna wakati mtu unapaswa kupotezea baadhi ya watu, unaweza kuta unabishana na vijana wa MEMKWA.
Sisi vijana wa MEMKWA tunahusikaje hapo? Au sisi vijana wa MEMKWA ni tusi la kuwachapia wengine? Imeniuma sana yaani!!!
 
Si ndio alichokisema!!?
 
View attachment 2134789
wana sema kuna msafara wa vyombo hatari vya Russia wenye urefu wa 3. 5km una karibia Tuwaombeya Ukraine wanaenda kuumia!! kibaya zaidi ni Raia kupewa silaha majengo yata shushwa vibaya sana!
Watu wengi hawataki kuona kuwa vikosi vya kwanza vilienda kuudhibiti mji hivi vya saivi ndio vinaeenda Sasa kumaliza kazi.
 
Watu wengi hawataki kuona kuwa vikosi vya kwanza vilienda kuudhibiti mji hivi vya saivi ndio vinaeenda Sasa kumaliza kazi.
Tuwaombeye Ukraine!

Attachments

  • Airborne_footage_shows_Mi-35M_transport_and_combat_helicopters,_Mi-28UB_Night_Hunter_attack_he...mp4
    6 MB

Ninefuatilia taarifa zako Ni za upande mmoja. Yani waziri wa Bulgaria anatoa taarifa za uwanja wa Vita, akiwa Bulgaria
 
Unachobisha Nini? Umenukuu taarifa mwenyewe halafu unaipinga. Waziri kasema soldiers from both sides wewe unakataa unataka ionekane Ni Ukraine ndio wanakufa tuu. Namshukuru Mungu kuruhusu Soviet kuanguka.
 
Ni hivi kwa mujibu wa Ukraine na vyombo vya magharibi wao wanadai kuwa wanajeshi wa Ukraine waliouawa ni kiduchu kwa maana hawafiki hata 500. Kama wewe mjuvi una data zozote zinazoripoti tofauti na hivyo ziweke hapa chini
 
Ninefuatilia taarifa zako Ni za upande mmoja. Yani waziri wa Bulgaria anatoa taarifa za uwanja wa Vita, akiwa Bulgaria
Bulgaria ni memba wa NATO, wanatumia akili zaidi yako na ndio maana wanaelewa fika kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wanaendelea kufa vitani.

Wewe slow learner umeshindwa hata kung'amua mtiririko wa matukio kuwa inawezekanaje rais wa nchi awaombe raia wasio na ujuzi wa mapambano ya vita washike silaha wakasaidie wanajeshi wa Ukraine kupambana na majeshi ya Russia (hapo hujiongezi tu kuwa jeshi limeelemewa kwa kipigo?)

Haitoshi hata wewe mUkraine wa Tanzania umeombwa uende, hakuna habari ya viza, ukasaidie jeshi hilo bado huelewi tu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…