Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

Wewe ukienda hapo moscow unaonekana nyani tu hamna mtu atakua na muda na wewe! Huu muda unaopoteza kuleta habari zako uchwara ni bora ufanye issue ya maana ikuingizie kipato
 
Wewe ukienda hapo moscow unaonekana nyani tu hamna mtu atakua na muda na wewe! Huu muda unaopoteza kuleta habari zako uchwara ni bora ufanye issue ya maana ikuingizie kipato
Alisikika mUkraine mmoja wa Tandahimba baada ya mada kumchoma moyoni, ambaye yeye akisoma au kokoment mada hapa JF a analipwa pesa
 
Nakushangaa unavyohangaika na vithread vyako uchwara utadhani putin ameoa kwenye ukoo wenu🤣🤣
Mkuu mbona wateseka sana? Kama kweli waumia sana si usafiri uende Ukraine ukakabidhiwe bunduki ulisaidie jeshi la Ukraine kupambana na majeshi ya Russia? Au hujaona wito wa rais wa Ukraine akiwataka muende huko? Visa hutaulizwa.
 
Source ya hii habari sababu hakuna sehemu yeyote imeripotiwa, Ukraine waondoke waende wapi Ile ni nchi yao

Mtu aje Tanzania atuambie ondoken Tanzania kirahisi rahisi tumtii maisha sio marahisi hivyo
Hili nalo linafikirisha sana!
Na tumshukuru Mungu warusi hawataki kuulia mbali raia wasio na hatia!
 
Source ya hii habari sababu hakuna sehemu yeyote imeripotiwa, Ukraine waondoke waende wapi Ile ni nchi yao

Mtu aje Tanzania atuambie ondoken Tanzania kirahisi rahisi tumtii maisha sio marahisi hivyo
Haya chukua source ya habari uliyoulizia
 
Hahahah 😁😁😁😁😁😂😂😂😂, kwa hiyo hivyo vistiki vya kutuulia sisi? Ngoja tudondoshe kitu hapo kinachoitwa GLORY TO GOD ile inatembeaga chini ya maji tu
😂😂😂
 
Muda ni kila kitu. Jana Ukraine wamepewa muda kuondoa raia kiev. Kitakachofuata sisi hatumo.

Aendelee na comedy zake ku.
sisi leo tutapeleka moto wa ajabu pale KIEV watajijua wenyewe kutapokucha maana wanaongozwa na rais wa hovyo kuwahi kutokea
 
anaeweza kumtunishia RUSSIA kifua akapeleke majeshi kumsaidia UKRAINE mnaongea kama mna njaa eeh[emoji848]
 
Mkuu naunga mkono hoja Wanajeshi wa Ukraine wanauliwa sana kama kuku sema western media hazioneshi kabisa wa wamebase kwenye propaganda wakati Russia anashusha mvua ya mabomu
 
Kwenye vita lazima wanajeshi watakufa hakuna ajabu apo, swali la kujiuliza Lengo la Putin limetimia jibu ni kwamba halijatimia
Lengo halijatimia? Unafikiri PUTIN plan yake ni kutimiza malengo kwa mda gan? Au amekuteua uwe msemaji wake otherwise tulia majibu atatupatia PUTIN mwenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…