Noma sanaPanya road wenye nguvu za kutosha 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sanaPanya road wenye nguvu za kutosha 😀
Walitumwa mkuu. Kuna ambao wamefunguliwa mashtaka marekani. Na kule Haiti pia mke wa rais ambaye naye siku anauwawa alikuwepo. Ametajwa na jaji anayesimami hiyo kesi ya mauwaji. Wengine ni waziri mkuu aliyepita, pamoja na mkuu wa polisi aliyepita.Raia wa Colombia wakavuka kuja kumuua Rais wa Hait kwa malengo yapi mkuu. Tuelimishe
Hapo awali walikuwa wa kawaida tu ila Haki za binadamu ziliwakingia kifua hatimae wameota mapembe.Panya road wenye nguvu za kutosha 😀
Walitumwa mkuu. Kuna ambao wamefunguliwa mashtaka marekani. Na kule Haiti pia mke wa rais ambaye naye siku anauwawa alikuwepo. Ametajwa na jaji anayesimami hiyo kesi ya mauwaji. Wengine ni waziri mkuu aliyepita, pamoja na mkuu wa polisi aliyepita.
Wengine walioshiriki nao walikamatwa marekani kule Miami kama sikosei.
MKE naye alikimbizwa marekani kwa matibabu. Ila amekuwa “indicted” na judge, sijajuwa bado connection yake ni ipi kwenye yale mauwaji.
Hv unajua kwamba Haiti haina jeshi? Sasa jiulize jeshi linalofanya kazi haiti linatoka2 wapi?Marekani hawawezi "kuiba madini" katika mazingira ya hatari hayo. Usichukulie kuwa Marekani ni vibaka wanotaka kuiba gizani. Wakitaka kuchukua madini wanaweza kuingia kwa nguvu na kusema wanaleta jeshi la kulinda amani. Mwaka 1994 walimrudisha Aristide madarakani kwa nguvu na kuwafukuza General Biamby na General Cedras waliokuwa wamempindua halafu wakaondoka. Wangeweza kuendelea kukaa pale hadi waseme kumekuwa na usalama wa kutosha.
Ingia google andika tu iridium in haiti utajionea mwenyewe. Ukimaliza andika amount of iridium in haiti kisha angalia mzalishaji namba moja wa iridium anazalisha kiasi2 ganiHistory ya Haiti naijua vizuri sana. Usidhani kila anayeandika hapa hudakia mambo asiyoyajua. Niliifuatilia sana historia ya Haiti kwa kina kuanzia mwaka 1994 na nimekuwa na marafiki wengi wenye asili ya Haiti, hata kinyonzi wangu ni mtu wa Haiti.
Kwa ufupi ni kwamba baada ya Haiti kujinyakulia uhuru wake kutoka Ufaransa, walilazimishwa kuilipa Ufaransa hela nyingi sana jambo lililokuwa mzigo mkubwa sana wa deni kwa nchi hiyo. Kutokana na deni hilo utawala ulianza kuruhusu wafanya biashara wa kijerumani kuja kufanya biashara, jambo ambalo halikuifurahisa Marekani. Ndipo Marekani ilipoivamia kwa malengo mawili: kwanza kuweka kituo cha Navy kuzuia mataifa mengine yasiingine hapo, halafu kuikopesha Haiti pesa kusudi isiwe na mzigo wa madeni yanayoiyumbisha ili isiwe kuvutio kwa mataifa mengine ya Europe. Ingawa wamarekani walifanikiwa sana kuijenga Haiti hasa kuondokana na madeni na vile vile kujenga miundo mbinu na mashule, lakini vile vile walikumbana na upinzani mkubwa uliosababaisha baadhi yao wauawawe na hivyo hawakuendelea na ujenzi wa kituo cha Navy na wala hawakujenga misingi ya utawala bora. Hivyo walipoondoka ndipo nchi ikaanza instability spiralling iliyoendelea hadi leo.
Hakuna madini yanayoyotafutwa na Marekani huko Haiti
Republic of gangstersHuyu hakutaka kufuata katiba baada ya kuingia madarakani kufuatia kifo cha mkubwa wake.
Ariel Henry amezaliwa 6 Novemba 1949) ni daktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na neva, ni mwanasiasa wa Haiti ambaye amewahi kuwa kaimu Waziri Mkuu wa Haiti na kaimu Rais wa Haiti kutoka 2021 hadi 2024, baada ya kuuawa kwa Rais Jovenel Moï mwaka 2021.
Sasa magenge ya kiuhalifu yakatumia kukosekana utawala wa sheria unaofanywa na kiongozi huyo waziri mkuu, kuanzisha vurugu mitaani kwa sababu zao mbalimbali.
Funzo kwa viongozi wafuate utawala wa sheria na katiba bila shurti ili nao watu wa mtaani pia waige mfano bora wa kuwa raia wema wenye kuheshimu sheria.
View attachment 2932663
Mmoja wa viongozi wa magenge ya mtaani Jimmy ' Barbecue' Cherizier akiongea na waandishi wa habari kuhusu mustakabali wa nchi ya Haiti
Acha kuokoteza vipande vipande vya tetesi na kuvifanya kuwa habari. Hivi ninapoandika post hii, Haiti haina active mining industry yoyote. Research zinaonyesha kuwa ina potential ya kuwa na depostis za madini kadhaa ikiwamo iridium, lakini hakuna madini yoyote yanayochimbwa Haiti kwa wakati huu.Ingia google andika tu iridium in haiti utajionea mwenyewe. Ukimaliza andika amount of iridium in haiti kisha angalia mzalishaji namba moja wa iridium anazalisha kiasi2 gani
www.bme.gouv.ht
Huu Upumbavu wa kijinga utaisha lini. Kila watu wakipigana USA. Mara sijui wazungu gani wanausika. Mkuu Upumbavu ni WA mtu mweusi mwenyewe ifikie wakati waache ufala kabisa. Wewe mtu anatoka kwao anakugombanisha na raia mwezako unamuua wewe si fala tu.Haiti Inaandamwa na vitu 2, kwanza ndio watu wa kwanza weusi kufukuza utawala wa wazungu (slave Master) na kiongozi wao Toussaint l Overture alitumia fursa wakati Ufaransa walikua na changamoto za kisiasa jamaa akawafurusha wale wachache waliokuja wamebaki kama viongozi wa kizungu na hawakua na msaada kutoka kwao. So Kwa wazungu ni kosa lisilosameheka . La pili Wana milima ya madini ya iridium ambayo wanahitaji kwenye military industrial complex na US anataka kuyachukua Bure Kwa kutafuta vibaraka na kutengeneza chaos kama tunavyoona DRC now. So ndio kinachofanyika Haiti. And kama mnafuatilia Hawa jamaa walikua self sufficient kwenye uzalishaji wa Mchele ambao ndio primary food kwao, then during Clinton administration akai-destroy Kwa ku flood the Haiti market with cheap rice na wazawa kupata basara ya kuendelea kulima. Now njaa kama yote ili waweze kuwazumgusha kama wanavyotaka. So we should learn from our brothers
Mkuu ni kwa nn Haiti ni weusi watupu?History ya Haiti naijua vizuri sana. Usidhani kila anayeandika hapa hudakia mambo asiyoyajua. Niliifuatilia sana historia ya Haiti kwa kina kuanzia mwaka 1994 na nimekuwa na marafiki wengi wenye asili ya Haiti, hata kinyonzi wangu ni mtu wa Haiti.
Kwa ufupi ni kwamba baada ya Haiti kujinyakulia uhuru wake kutoka Ufaransa, walilazimishwa kuilipa Ufaransa hela nyingi sana jambo lililokuwa mzigo mkubwa sana wa deni kwa nchi hiyo. Kutokana na deni hilo utawala ulianza kuruhusu wafanya biashara wa kijerumani kuja kufanya biashara, jambo ambalo halikuifurahisa Marekani. Ndipo Marekani ilipoivamia kwa malengo mawili: kwanza kuweka kituo cha Navy kuzuia mataifa mengine yasiingine hapo, halafu kuikopesha Haiti pesa kusudi isiwe na mzigo wa madeni yanayoiyumbisha ili isiwe kuvutio kwa mataifa mengine ya Europe. Ingawa wamarekani walifanikiwa sana kuijenga Haiti hasa kuondokana na madeni na vile vile kujenga miundo mbinu na mashule, lakini vile vile walikumbana na upinzani mkubwa uliosababaisha baadhi yao wauawawe na hivyo hawakuendelea na ujenzi wa kituo cha Navy na wala hawakujenga misingi ya utawala bora. Hivyo walipoondoka ndipo nchi ikaanza instability spiralling iliyoendelea hadi leo.
Hakuna madini yanayoyotafutwa na Marekani huko Haiti
Mkuu5alimpigiajeSimu ya mke wa Rais ilifuatiliwa ikagundulika almpigia mume wake ambaye ni rais muda mchache kabla ya kuuwawa
Na kumwambia kwa muda wote uliokuwepo madarakani hukutufanyia chochote
Na maneno mengine km yanayoonyesha km alimpigia simu kumuaga
Asilia yao ni watumwa wa kutoka Afrika waliopelekwa huko kulima mashamba ya Miwa na Kahawa wakati wa biashara ya utumwa ya pembetatu ndani ya Atlantic. Watumwa wale waliasi wakapindua utawala wa kiafaransa na kujitanganzia uhuru wao, na ndiyo ukawa mwanzo wa taifa hilo la haiti lililoanza mwaka 1804 takriban karne nzima kabla Afrika haijavamiwa na Berlin conference.Mkuu ni kwa nn Haiti ni weusi watupu?
Wale waliotunga vitabu vya history walitukosea sana tena sana. Hiyo history ya Haiti ya kupata uhuru mapema ivyo ilitakiwa iwepo kwenye ivyo vitabu. nadhani haikuwekwa kwa makusudi coz mtu mweupe ndiye aliyechakazwa.Asilia yao ni watumwa wa kutoka Afrika waliopelekwa huko kulima mashamba ya Miwa na Kahawa wakati wa biashara ya utumwa ya pembetatu ndani ya Atlantic. Watumwa wale waliasi wakapindua utawala wa kiafarance na kujitanganzia uhuru wao, na ndiyo ukawa mwanzo wa taifa hilo la haiti lililoanza mwaka 1804 takarban karne nzima kabla Afrika haijavamiwa na Berlin conference.
Asilia yao ni watumwa wa kutoka Afrika waliopelekwa huko kulima mashamba ya Miwa na Kahawa wakati wa biashara ya utumwa ya pembetatu ndani ya Atlantic. Watumwa wale waliasi wakapindua utawala wa kiafaransa na kujitanganzia uhuru wao, na ndiyo ukawa mwanzo wa taifa hilo la haiti lililoanza mwaka 1804 takriban karne nzima kabla Afrika haijavamiwa na Berlin conference.
Watu wa asili wa eneo lile la Caribbean waliuwawa wote kwa kutumikishwa kama watumwa kwenye ulimaji wa mashamba, kazi ambazo wao hawakuwa wamezowea. Baada ya kuwamaliza ndipo wakaanza kuleta watumwa kutoka AfricaSorry swali kingine, je hakukuwa na watu weupe kwenye hiyo nchi