Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sisi hatuijui ila tunachukishuhudia Kwa macho yetu nyinyi ni kuabudu na kubusu jiwe.Sio wakibusu jiwe naona waislam wakifanya twawaf... Unaijua twawaf?!
Nilimaanisha akili yake Ina afyaAfya ya akili nini sasa?
Wewe na Waziri mkuu nani ana afya ya akili timamu.
Izo ni mila za watu na zinawasaidia waacheni na mambo yao.
Wanaabudu jiweHao wanafanya nini hapo ?!
Nauliza hivyo sababu nazifahamu nguzo za Hija ..Je wewe unazifahamu ..?! Kama unafahamu kubusu sijui jiwe ni moja kati ya nguzo za Hija?! Je kitendo akifanya mtu fulani nje wa muongozo wa Dini na taratibu kinageuka kuwa ni muhimili wa hiyo dini ilhali muongozo wa hija na vitendo vyote vinavyohitajika kufanywa wakati wa Hija vipo well documented...Wanakula mali maharage.
Unajitoa akili
Kwa hiyo hao hapo kwenye picha mamilioni kwa milioni kutoka pande mbalimbali za dunia wana muabudu shetani ?Nauliza hivyo sababu nazifahamu nguzo za Hija ..Je wewe unazifahamu ..?! Kama unafahamu kubusu sijui jiwe ni moja kati ya nguzo za Hija?! Je kitendo akifanya mtu fulani nje wa muongozo wa Dini na taratibu kinageuka kuwa ni muhimili wa hiyo dini ilhali muongozo wa hija na vitendo vyote vinavyohitajika kufanywa wakati wa Hija vipo well documented...
Ushauri acha mihemko kijana uislamu una principle zake na kila kitu kina maelekezo yake kwa ufupi unajitosheleza... Kwa kukusaidia tu kubusu jiwe si moja kati ya nguzo ya Hija .. kaa usomeshwe dini ya Haki huenda ikawa ndio uongofu kwako na kuachana na ukafiri na ushirikina
Hawa hapa picha ya kwanza hapo chini mkuu. Na maelezo ya ziada yako kwenye picha murua zinazofuata.Kina nani hao ..?!
📌🔨🔨🔨💊💉Bora hao wanaweza wakakuonyesha wanachoabudu, je wewe usiyejua unaabudu nini? Siku ukija kuonyeshwa utakuta kumbe huyo Allah ni kitimoto ndiyo maana na nyie mmekatazwa msile kama wahindu walivyokstazwa kula ng'ombe.
📌🔨💊💉Hawa hapa picha ya kwanza hapo chini mkuu. Na maelezo ya ziada yako kwenye picha murua zinazofuata.
View attachment 3096131
Wailsam wakijitahidi kulifikia jiwe jeusi ili kulibusu huko Makkah👆🏿
View attachment 3096132
👆🏿👆🏿Picha hapa ni nzuri zaidi kukusaidia muonekano bora
Nukuu ya hadith kuhusu utukufu wa jiwe jeusi👇🏾
View attachment 3096137
Maelezo ya ziada👇🏾👇🏾
View attachment 3096138
Lazima unasiginwa weweHana tofauti na waabudu masanamu ... Wakatoliki
Ushawahi fika hijja?Unazifahu nguzo za Hija ?! Kama ndio je kubusu jiwe ni moja ya kitendo katika hizo nguzo za Hija?! Kama hujui sema usomeshwe..usikaririri bwana mdogo ...kwamba kitendo akifanya fulani basi ndio utaratibu wa dini yao huo ... Uislamu haupo hivyo sio kama ukafiri .. uislamu una principles na mafunzo yake ..
Usichokijua ni sawa na usiku wa kiza. Katoliki ndio ukristo. Nyie wajuaji hamtambuliki na yeyote. Kelele.Hana tofauti na waabudu masanamu ... Wakatoliki
Umejitahidi sheikh Google , ndio maana nikasema uislamu inabidi ukae usomeshwe lakini umeacha maelezo muhimu ya wema waliotangulia ambao walikaa na Mtume Mohamad Rehema na amani ziwe juu yake na ndio maana katika nguzo za Hija kuhusu hilo jiwe sio part of it ...Hawa hapa picha ya kwanza hapo chini mkuu. Na maelezo ya ziada yako kwenye picha murua zinazofuata.
View attachment 3096131
Wailsam wakijitahidi kulifikia jiwe jeusi ili kulibusu huko Makkah👆🏿
View attachment 3096132
👆🏿👆🏿Picha hapa ni nzuri zaidi kukusaidia muonekano bora
Nukuu ya hadith kuhusu utukufu wa jiwe jeusi👇🏾
View attachment 3096137
Maelezo ya ziada👇🏾👇🏾
View attachment 3096138
Yote yaleyale tuu. We inawezekana ya dini yako unayaona ya kawaida maana umeyazoea. Ila akija mtu asiejua lazima akuone mwenda wazimu.Sahihi, japo kuna kuzidiana katika mambo ya kuonekana mwehu
Waabudu Ng'ombe hao...Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).
Katika dini ya Kihindu ambayo Modi ni mfuasi wake kindakindaki ng'ombe anachakuliwa kama mama wa dunia na ubinadamu na anapewa hadhi ya juu pamoja na heshima kubwa ikiewemo pamoja na marufuku ya kuliwa.
View attachment 3096044