Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

Wanakula mali maharage.

Unajitoa akili
Nauliza hivyo sababu nazifahamu nguzo za Hija ..Je wewe unazifahamu ..?! Kama unafahamu kubusu sijui jiwe ni moja kati ya nguzo za Hija?! Je kitendo akifanya mtu fulani nje wa muongozo wa Dini na taratibu kinageuka kuwa ni muhimili wa hiyo dini ilhali muongozo wa hija na vitendo vyote vinavyohitajika kufanywa wakati wa Hija vipo well documented...
Ushauri acha mihemko kijana uislamu una principle zake na kila kitu kina maelekezo yake kwa ufupi unajitosheleza... Kwa kukusaidia tu kubusu jiwe si moja kati ya nguzo ya Hija .. kaa usomeshwe dini ya Haki huenda ikawa ndio uongofu kwako na kuachana na ukafiri na ushirikina
 
Kwa hiyo hao hapo kwenye picha mamilioni kwa milioni kutoka pande mbalimbali za dunia wana muabudu shetani ?
 
Kina nani hao ..?!
Hawa hapa picha ya kwanza hapo chini mkuu. Na maelezo ya ziada yako kwenye picha murua zinazofuata.

Wailsam wakijitahidi kulifikia jiwe jeusi ili kulibusu huko Makkah👆🏿



👆🏿👆🏿Picha hapa ni nzuri zaidi kukusaidia muonekano bora


Nukuu ya hadith kuhusu utukufu wa jiwe jeusi👇🏾


Maelezo ya ziada👇🏾👇🏾
 
Bora hao wanaweza wakakuonyesha wanachoabudu, je wewe usiyejua unaabudu nini? Siku ukija kuonyeshwa utakuta kumbe huyo Allah ni kitimoto ndiyo maana na nyie mmekatazwa msile kama wahindu walivyokstazwa kula ng'ombe.
📌🔨🔨🔨💊💉
 
Habari hii iifikie misukule ya waarabu na wazungu popote walipo wakibinua makalio huku wameelekeza vichwa mwelekeo wa mji wa mabwana zao na wengine wakipiga magoti mbele ya rundo la sementi na gypsum powder iliyochongwa kwa mfano wa mabwana zao wa ulaya.

Ujumbe: Waache kuabudu mizimu ya wazungu na waarabu na kudharau ya kwao waliyodanganywa ni ya kishenzi.
 
Ushawahi fika hijja?
 
Umejitahidi sheikh Google , ndio maana nikasema uislamu inabidi ukae usomeshwe lakini umeacha maelezo muhimu ya wema waliotangulia ambao walikaa na Mtume Mohamad Rehema na amani ziwe juu yake na ndio maana katika nguzo za Hija kuhusu hilo jiwe sio part of it ...
 
Sisi tukubaliane tu katika kila imani kuna mambo tunayofanya ambayo kwa mtu asie wa imani hiyo ukimuambia lazima akuone wewe ni mwehu.
 
Sisi tukubaliane tu katika kila imani kuna mambo tunayofanya ambayo kwa mtu asie wa imani hiyo ukimuambia lazima akuone wewe ni mwehu.
Sahihi, japo kuna kuzidiana katika mambo ya kuonekana mwehu
 
Sahihi, japo kuna kuzidiana katika mambo ya kuonekana mwehu
Yote yaleyale tuu. We inawezekana ya dini yako unayaona ya kawaida maana umeyazoea. Ila akija mtu asiejua lazima akuone mwenda wazimu.
 
Waabudu Ng'ombe hao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…