Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Huna haki ya kuwapangia watu wengine wawe na haki gani katika nchi yao.

Ukishaanza kuwapangia watu wasichome moto vitabu nchini mwao, wakati utamaduni wao unaruhusu, huo nao si uungwana.

Unataka kuwapangia watu jinsi ya kuishi nchini mwao?

Quran si kitabu kitukufu, kina contradictions nyingi sana nimeziweka hapa.

Acha kukikuza.

Kichomwe moto tu.

Kwani kikichomwa Allah atakufa?
 
Hizo ni janja janja tu,

Hamchelewi kusema kuwa siyo gazeti lile.

Hapo umeleta mstari wa kiarabu, kuna neno "as if" hapo wala "ocean" ?

Je kuna sehem ambayo jua huwa linazama mpaka huyo Dhul-Qarnaini awakute watu hiyo sehemu?

Nimesindikiza na hadithi ya Abu dawood hapo,

Hauchelewi kusema kuwa ni hadithi ya uongo kisa inamaujinga ya watu wenu wa kale na hamuwezi kuwatetea.
🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️

Ukweli ni kwamba mwandishi alikuwa ni flat earther,

Soma hata 18:90 utaona
90. Hata alipo fika matokeo ya jua (Mawio) aliliona linawachomozea watu tusio wawekea pazia la kuwakinga nalo.

Haya ni maandiko ya illiterate person

Na sio huyo tunaambiwa ni Mola mjuzi wa yote!

Huyo Mungu hayupo.
 
quran haina miujiza yoyote, dini ni mapokeo tu na janja janja. wafia dini hamta nielewa
Muujiza wa kwanza wa Qur'an, ni kitabu pekee duniani kimehifadhiwa na watu wengi zaidi wa makabila na lugha tofauti lakini wamekihifadhi kwa lugha yake ya asili kwa miaka zaidi ya 1,400 sasa.

Kama si muujiza nini hiyo?
 
Muujiza wa kwanza wa Qur'an, ni kitabu pekee duniani kimehifadhiwa na watu wengi zaidi wa wamakabila na lugha tofauti lakini wamekihifadhi kwa lugha yake ya asili kwa miaka zaidi ya 1,400 sasa.

Kama si muujiza nini hiyo?
kwanini waisilamu wanajikutaga waarabu?
 
Kwahiyo unataka kutuambia ukitaka kuprint kuluani inakataa acheni sifa zakijinga kile nikitabu cha hadithi kama vilivyo vitabu vya Erick Shigongo acheni kuvipamba sana
 
Kabla ya kusema Mwenyezi Mungu hivi, mwenyenzi Mungu vile.

Thibitisha yupo kwanza.

Inawezekana upo sahihi hayupo kiushindani.

Kwa sababu hayupo.
 
Kabla ya kusema Mwenyezi Mungu hivi, mwenyenzi Mungu vile.

Thibitisha yupo kwanza.

Inawezekana upo sahihi hayupo kiushindani.

Kwa sababu hayupo.
Hayupo kiiushindani
Hayupo kiuhalisia
Hayupo kivyovyote
 
Kiislam hatuendi hivyo. Kiislam inatakiwa wewe unaepinga ndiyo uthibitishe hayupo.

Tunakuambia tupe japo sura moja inayofanana na kitabu chake, Qur'an.
 
Allah sio mpuuzi kama binadam Allah anasubira hana pupa lau kama angekua analipa papo hapo sidhani kama mpaka leo ulimwengu wenyewe ungali kuepo
Kama ala mwenyewe yupo hivyo ninyi waishilamu mnayaingilia yAnini kama yupo ipo siku atajitetea muachieni mipango yake aipambanie
 
Kumbe unachokusudia kusema kuhusu hiyo aya ni kuwa waislamu wanaamini dunia ni kama mkeka.Ndio maana nimekwambia lazima ujifunze na uwasililize waislamu wenyewe ndipo utaelewa.Hebu sikiliza jawabu hapo halafu urudi tena.Vistari vyako hivyo huwezi kufika pahala.
 
Mtu kanunua kitabu chake mwenyewe kwa pesa yake kaenda kukichoma kuna ubaya gani kwani Allah anaishi kwenye kitabu kwamba kikochomwa atakufa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwani wakichoma Quran Allah anakufa?
Mfano mdogo tu, kwani we mtu akikutukania mamaako huwa anakufa? akili ndogo tabu sana! U are mocking the emotional reaction instead of condemning the provocation leading to those reactions! shame on u!

Na hao wanaofanya hivo ni LGBT, sasa kutokana na chuki zako kwa uislamu upo tayari kuwa pamoja na mapunga katika lolote lile, au sio? au na wewe ndie?
 
Mbona huko huko Sweden huruhusiwi kuchoma Bendera?..na unafungwa jela Kwa kuchoma Bendera...
Hata hapa Tanzania kukanyaga Tu pesa ni kosa kisheria
pesa inaonekana nainajitetea yenyewe kupitia hixo serikali hebu kuluani ijitetee kama inavyfanya pesa
 
Kama ala mwenyewe yupo hivyo ninyi waishilamu mnayaingilia yAnini kama yupo ipo siku atajitetea muachieni mipango yake aipambanie
Sisi hatuwezi kujaribu kufanya kitu kama hicho na yeye hana haja na misaada yetu.Tunachofanya sisi tunatafuta radhi zake kwa kuwajibu watu wajinga wajinga ambao bado hawajamjua.Na kipi tutakachopata kwa kufanya hivyo ni matarajio tu kupata rehema zake na kuingia kwenye pepo.Hiyo ndio akili kwa mtu anayejijua kuwa kwa uhakika atakufa na atakutana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…