Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Uchomaji wa Msahafu ni kitendo si cha kiungwana na hakipendezi, kama watu wameshindwa kustahamiliana bora watumie njia nyingine na si kucheza na hisia za watu. Msahafu ni kitabu kitukufu kwa waislamu wa madhehebu yote, hivyo kukidharau au kukikejeli ni hatari kubwa kwani kuna baadhi wa waumini wapo tayari kufanya chochote kwa kulinda heshima ya imani yao, tunaomba huu ushabiki usije ukaleta khasara kubwa kwa waliyokuwemo na wasiyokuwemo. Hivi mbona sijawahi kusikia waislamu wakichoma vitabu vya imani nyingine! Hakuna mtu anayelazimishwa kuwa muislamu, kama kuna mtu ameona uislamu haumfai basi na aachane nao na kama kuna mtu ameona uislamu unamfaa basi ajiunge nao.
Huna haki ya kuwapangia watu wengine wawe na haki gani katika nchi yao.

Ukishaanza kuwapangia watu wasichome moto vitabu nchini mwao, wakati utamaduni wao unaruhusu, huo nao si uungwana.

Unataka kuwapangia watu jinsi ya kuishi nchini mwao?

Quran si kitabu kitukufu, kina contradictions nyingi sana nimeziweka hapa.

Acha kukikuza.

Kichomwe moto tu.

Kwani kikichomwa Allah atakufa?
 
Hii tunayozungumzia ni Qur'an ambayo nina uhakika wewe hujui.Tafsiri unayoangalia ama ni ya Kiswahili au kiiengereza ambazo unaweza ukapata maana isiyokusudiwa.Hapo kwenye aya imetumika maana kwa mujibu wa akili za watu wanavyoweza kufahamu.ibn Kathir kaitafsiri aya hiyo kama hivi
وَجَدَهَا تَغۡرُبُ فِى عَيۡنٍ حَمِئَةٍ۬
(he found it setting in a spring of Hami'ah) meaning, he saw the sun as if it were setting in the ocean. This is something which everyone who goes to the coast can see: it looks as if the sun is setting into the sea but in fact it never leaves its path in which it is fixed. Hami'ah is, according to one of the two views, derived from the word Hama'ah, which means mud. This is like the Ayah:
Sasa kwanini tufuate tafsiri yako ambaye hujui kiarabu na wala Qur'an
Hizo ni janja janja tu,

Hamchelewi kusema kuwa siyo gazeti lile.

Hapo umeleta mstari wa kiarabu, kuna neno "as if" hapo wala "ocean" ?

Je kuna sehem ambayo jua huwa linazama mpaka huyo Dhul-Qarnaini awakute watu hiyo sehemu?

Nimesindikiza na hadithi ya Abu dawood hapo,

Hauchelewi kusema kuwa ni hadithi ya uongo kisa inamaujinga ya watu wenu wa kale na hamuwezi kuwatetea.
🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️

Ukweli ni kwamba mwandishi alikuwa ni flat earther,

Soma hata 18:90 utaona
90. Hata alipo fika matokeo ya jua (Mawio) aliliona linawachomozea watu tusio wawekea pazia la kuwakinga nalo.

Haya ni maandiko ya illiterate person

Na sio huyo tunaambiwa ni Mola mjuzi wa yote!

Huyo Mungu hayupo.
 
Muujiza wa kwanza wa Qur'an, ni kitabu pekee duniani kimehifadhiwa na watu wengi zaidi wa wamakabila na lugha tofauti lakini wamekihifadhi kwa lugha yake ya asili kwa miaka zaidi ya 1,400 sasa.

Kama si muujiza nini hiyo?
kwanini waisilamu wanajikutaga waarabu?
 
Ngoja nikujibu kijinga kama ulivyo uliza kijinga.....

Hizo bendera ziwe za majeshi, raisi ama taifa husika si mavitambara tu? Vipi ukilichoma hadharani (say) tambara la Tanzania??

Ingekuwa Qur an ni makaratasi basi kuna viwanda vingi sana vya karatasi wangenunua karatasi wakachoma kama lengo lao ni kuchoma karatasi! Lengo lao ni devalue uislam!

Unajua kitu kinachowauma wamagharibi na they got nothing to do with it ni uislam kushamili au kuongezeka kwa kasi duniani na kuwa dini nambari moja ya ushawishi kwa sasa duniani!

Mwenyezi mungu mwenyewe kajaalia kila kitu kimezaliwa kikiwa ni kiislam what a dini!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unataka kutuambia ukitaka kuprint kuluani inakataa acheni sifa zakijinga kile nikitabu cha hadithi kama vilivyo vitabu vya Erick Shigongo acheni kuvipamba sana
 
Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.
Kabla ya kusema Mwenyezi Mungu hivi, mwenyenzi Mungu vile.

Thibitisha yupo kwanza.

Inawezekana upo sahihi hayupo kiushindani.

Kwa sababu hayupo.
 
Kabla ya kusema Mwenyezi Mungu hivi, mwenyenzi Mungu vile.

Thibitisha yupo kwanza.

Inawezekana upo sahihi hayupo kiushindani.

Kwa sababu hayupo.
Hayupo kiiushindani
Hayupo kiuhalisia
Hayupo kivyovyote
 
Huna haki ya kuwapangia watu wengine wawe na haki gani katika nchi yao.

Ukishaanza kuwapangia watu wasichome moto vitabu nchini mwao, wakati utamaduni wao unaruhusu, huo nao si uungwana.

Unataka kuwapangia watu jinsi ya kuishi nchini mwao?

Quran si kitabu kitukufu, kina contradictions nyingi sana nimeziweka hapa.

Acha kukikuza.

Kichomwe moto tu.

Kwani kikichomwa Allah atakufa?
Kiislam hatuendi hivyo. Kiislam inatakiwa wewe unaepinga ndiyo uthibitishe hayupo.

Tunakuambia tupe japo sura moja inayofanana na kitabu chake, Qur'an.
 
Allah sio mpuuzi kama binadam Allah anasubira hana pupa lau kama angekua analipa papo hapo sidhani kama mpaka leo ulimwengu wenyewe ungali kuepo
Kama ala mwenyewe yupo hivyo ninyi waishilamu mnayaingilia yAnini kama yupo ipo siku atajitetea muachieni mipango yake aipambanie
 
Hizo ni janja janja tu,

Hamchelewi kusema kuwa siyo gazeti lile.

Hapo umeleta mstari wa kiarabu, kuna neno "as if" hapo wala "ocean" ?

Je kuna sehem ambayo jua huwa linazama mpaka huyo Dhul-Qarnaini awakute watu hiyo sehemu?

Nimesindikiza na hadithi ya Abu dawood hapo,

Hauchelewi kusema kuwa ni hadithi ya uongo kisa inamaujinga ya watu wenu wa kale na hamuwezi kuwatetea.
🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️🛰️

Ukweli ni kwamba mwandishi alikuwa ni flat earther,

Soma hata 18:90 utaona
90. Hata alipo fika matokeo ya jua (Mawio) aliliona linawachomozea watu tusio wawekea pazia la kuwakinga nalo.

Haya ni maandiko ya illiterate person

Na sio huyo tunaambiwa ni Mola mjuzi wa yote!

Huyo Mungu hayupo.
Kumbe unachokusudia kusema kuhusu hiyo aya ni kuwa waislamu wanaamini dunia ni kama mkeka.Ndio maana nimekwambia lazima ujifunze na uwasililize waislamu wenyewe ndipo utaelewa.Hebu sikiliza jawabu hapo halafu urudi tena.Vistari vyako hivyo huwezi kufika pahala.
 
Uchomaji wa Msahafu ni kitendo si cha kiungwana na hakipendezi, kama watu wameshindwa kustahamiliana bora watumie njia nyingine na si kucheza na hisia za watu. Msahafu ni kitabu kitukufu kwa waislamu wa madhehebu yote, hivyo kukidharau au kukikejeli ni hatari kubwa kwani kuna baadhi wa waumini wapo tayari kufanya chochote kwa kulinda heshima ya imani yao, tunaomba huu ushabiki usije ukaleta khasara kubwa kwa waliyokuwemo na wasiyokuwemo. Hivi mbona sijawahi kusikia waislamu wakichoma vitabu vya imani nyingine! Hakuna mtu anayelazimishwa kuwa muislamu, kama kuna mtu ameona uislamu haumfai basi na aachane nao na kama kuna mtu ameona uislamu unamfaa basi ajiunge nao.
Mtu kanunua kitabu chake mwenyewe kwa pesa yake kaenda kukichoma kuna ubaya gani kwani Allah anaishi kwenye kitabu kwamba kikochomwa atakufa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwani wakichoma Quran Allah anakufa?
Mfano mdogo tu, kwani we mtu akikutukania mamaako huwa anakufa? akili ndogo tabu sana! U are mocking the emotional reaction instead of condemning the provocation leading to those reactions! shame on u!

Na hao wanaofanya hivo ni LGBT, sasa kutokana na chuki zako kwa uislamu upo tayari kuwa pamoja na mapunga katika lolote lile, au sio? au na wewe ndie?
 
Mbona huko huko Sweden huruhusiwi kuchoma Bendera?..na unafungwa jela Kwa kuchoma Bendera...
Hata hapa Tanzania kukanyaga Tu pesa ni kosa kisheria
pesa inaonekana nainajitetea yenyewe kupitia hixo serikali hebu kuluani ijitetee kama inavyfanya pesa
 
Kama ala mwenyewe yupo hivyo ninyi waishilamu mnayaingilia yAnini kama yupo ipo siku atajitetea muachieni mipango yake aipambanie
Sisi hatuwezi kujaribu kufanya kitu kama hicho na yeye hana haja na misaada yetu.Tunachofanya sisi tunatafuta radhi zake kwa kuwajibu watu wajinga wajinga ambao bado hawajamjua.Na kipi tutakachopata kwa kufanya hivyo ni matarajio tu kupata rehema zake na kuingia kwenye pepo.Hiyo ndio akili kwa mtu anayejijua kuwa kwa uhakika atakufa na atakutana naye.
 
Back
Top Bottom