Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Huko kuchoma makaratasi ndio ujinga .Unachoma vitabu Sweden,wakati dunia nzima vimeenea n vinachapishwa kila siku.Wao na wawabeep wauslam,wakijibu mapigo,wasipige kelele.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio ukweli

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hivyo Allah ni sawa na Mama yangu?

Unaweza kuthibitisha huyo Allah yupo?
 
Kwani Allah mwenyewe ana kilema mpaka apiganiwe?
Hivyo kuchoma makaratasi,ndio wameshatiwa kichaa na Allah.Mwenye akili timamu hachomi vitabu,ambavyo viko mamilioni duniani,na kila dakika vinachapishwa vipya.Ni kuwaongezea kipato waislamu,-kila wakinunua vitabu hivyo na kuvichoma,wanachapisha na kuuza wanapata faida.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
quran haina miujiza yoyote, dini ni mapokeo tu na janja janja. wafia dini hamta nielewa
Nyote wenye chuki na uislamu mkiongea hamna isipokuwa ni kashfa na matusi, mfano wa hiyo comment yako ilivyo. Upande wengine waislamu wakiongelea juu yenu siku zote huwa na hoja zenye mashiko na zenye mantiki.

Mwenye hoja hatukani, mwenye akili hatukani.
 
Allah hayupo. Habari za kuwepo kwake ni hadithi za watu tu.

Ukibisha, thibitisha Allah yupo.
 
Allah/Mungu hayupo. Habari za kuwepo kwake ni hadithi za watu tu.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Zab 127:1 -2

BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.

ALIYEIANDIKA QURAN AILINDE MWENYEWE.

Allah (shatani)
Asipoilinda Quran atajinua mwenyewe....
Wewe ndio utakuwa shetani,tumia akili,hao hivyo vitabu wananunua kwa pesa,sio wamevipata bure,sasa hapo wanachoma pesa zao,walizonunua hivyo vitabu.Na pia wanawapa biashara zaidi,waislamu wanaofanya biashara ya kuuza hivyo vitabu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hivyo Allah ni sawa na Mama yangu?

Unaweza kuthibitisha huyo Allah yupo?
Ndo maana nikasema akili ndogo hapa ndo tatizo! similarity iliyopo kwenye hoja yangu ni emotional provocation na sio kumfananisha Allah na chochote.

Sio jukumu langu kukuthibitishia kama Allah yupo ama laa.
 
Hayo ni makosa ya kibinadamu tu.
Biblia kuwa na makosa ya uchapishaji haiondoi ukweli kuwa ni kitabu kitakatifu
Kumbuka hicho kitabu kimeandikawa na wa

nadamu ambao nao pia wanaweza kukosea
 
Kila kinachotajwa kutokuwepo,ujuwe kipo,ndio watu wengi wakakitaja kipo.Kisichokuwepo,hakitwaji kuwa hakikpo,kiliopo ndio hutajwa hakipo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Allah/Mungu hayupo. Habari za kuwepo kwake ni hadithi za watu tu.

Ukibisha, thibitisha yupo.
Hoja yako wala sio ngeni.

Sitokujibu bali nikuulize, wewe una akili au hauna? na kama unayo ipo wapi? na je ulishawahi kuiona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…