Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Umejuaje hili?

Wewe unaweza kuona future kwasasa?

Ujinga upi kafanya huyo?

Kufa kifo kibaya ni uthibitisho kuwa Allah muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Unaelewa hili?
Huko kusema hayupo,ndio kuwako kwake.Kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Kilichopo ndio husemwa hakipo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Basi mtu wa kwanza kusema Mungu yupo ndio anapaswa kutuletea ushahidi na sio binadamu wa sasa ambayo hiyo dhana tumeikuta na tumerithishwa pia
Kwa hivyo babu yako akila mavi na wewe utakula mavi na ukiambiwa hayo mavi machafu yatakuletea ugonjwa ukila, utatuambia tumwambie hivyo babu yako wewe unaendelea kula mavi umerithishwa?

Wewe huna akili ya kuchuja hoja mwenyewe?

Wewe unataka kumpa lawama mtu wa kwanza aliyeishi zama za ujinga hakuwa na elimu, hakuwa na internet, hakuwa na umeme, hakuwa na vitabu vingi kama wewe, wewe una vyote hivi, bado unamlaumu huyu mtu wa kwanza?
 
Non sequitur fallacy ni nini?
 
Tatizo la ku copy na kupaste.Uanajichanganya wewe mwenyewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la ku copy na kupaste.Uanajichanganya wewe mwenyewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hujaonesha nimejichanganya wapi. Unahubiri tu.

Wewe hata kujichanganya huelewi maana yake ni nini.

Ndiyo maana unasema kusema Mungu hayupo ndiyo kuwapo kwake.

Huku wewe unasema Mungu yupo.

Hujui kuwa kauli yako kuwa Mungu yupo, inamaanisha wewe unayesema Mungu yupo, kusema hivyo, kwa mantiki yako, kunamaanisha Mungu hayupo.

Nani anajichanganya hapa sasa?
 
WANAADAMU WA SWEDEN...WANACHOKITAFUTA WATAKIPATA SOON ...


MARK MY WORDS.
Watakachokipata chochote hakitathibitisha Allah yupo.

Kwa sababu hayupo.

Habari za kuwapo kwake ni tungo za watu tu.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Unazidi kujichanganya kwa kukopy na kupaste.Tumia akili yako,wacha kushikiwa akili.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama wanafaidika mbona mnalalamika na kulialia mitandaoni, mara mnaandamana ndugu zetu waislamu.

What's wrong with you
 
Sasa kama wanafaidika mbona mnalalamika na kulialia mitandaoni, mara mnaandamana ndugu zetu waislamu.

What's wrong with you
Hawa watumwa wa kiutamaduni wa waarabu hawajielewi.

Ni watu wajinga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…