Waache huo upumbavu, waishi kwa kuheshimu tofauti zilizopo kati yetu.
Hatuwezi wote dunia nzima kuwa wa-Kristo au wapagani
Allah ni Mungu wa kipagani kwa wasio Waislamu wengi.Hapa nacho sema hata kama Allah angekuwa ni mungu wa kipagani ..... Inafaa kuheshimu dini ya wanao muamini !!! Kuchoma Quran yao ni kitendo cha chuki !!!
Imani inadumu miaka na miaka karne na karne !!! Ni ngumu mtu kubadilika !!! So Kinachobaki ni kwamba watu HAWAJUI WALIFANYALO sio kosa lao kwa sababu hiyo tunapaswa TUWAHESHIMU tu hawa jamaa waislamu tuwapende na Tusichome Quran , wanafanya hivyo kwa utukufu wa Allah wanayenamini kwamba ni muumba wa kila kitu...sio kosa lao
Unapoteza muda,mwenzio ashazoea ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa na tendeSababu ni simple, unaruhusiwa kujieleza kwenye mali yako. Hao wanaochoma Quran ni Quran zao.
Hata Sweden ukichoma moto Quran isiyo yako unaweza kushitakiwa kwa kuchoma moto mali ya mwingine.
Ukichoma ubalozi wa mwenzio, ushatoka kwenye uhuru wa kujieleza, umeingia kwenye kuharibu mali za wengine.
Ila alshabab na etc wanaheshimu imani nyingne , mzan utakuwa sw muda si mrefu si mlizoea kutumia fursa ukimya wa iman nyngneWaache huo upumbavu, waishi kwa kuheshimu tofauti zilizopo kati yetu.
Hatuwezi wote dunia nzima kuwa wa-Kristo au wapagani
Kauli hz ilibid mseme kpnd mnawafanyia imani za watu km haya huko middle eastWalizipata wapi? Inabidi kuwe na utaratibu wa kupata kibali cha kuwa na vitabu vya dini kama vile umiliki wa silaha, kama watu hawana nidhamu na staha kwa imani za wengine.
Ushaur huu hamkuujua kpnd mnatufanyia hayo kupitia vikundi vya kigaidiHapa wanajieleza juu ya nini? Kama hawaamini si waachane nayo? Au ndio wanaeleza kuwa wanawachukia waislamu?
Matukio mnayofanya kupitia hivyo vitabu ndo ttzoWaachane navyo, hawalazimishwi kuwa navyo.
Ndo maana nmekwambia imani yako ni potofu.Imani yangu tofauti nayako
Naamini ww hapo mwanzo ulikua unaamini uwepo wa Mungu
Sababu ww ulimfata mtu akakupotoa kuwa hakuna Mungu na ukamuamini kwa kukutolea mifano iliyoandikwa kwa kitabu tena kilichoandikwa na binaadamu Kama ww
KambaUkiwa kaburini, Mwenyezi Mungu ..atakuletea screen ikionyesha dunia watu wakiingia ktk dini uislamu kwa makundi, kwa hiari yao...
Naona uzunguka mbuyu Sasa apo uliposema umefanya tathmini na kusoma Kwa umakini swali langu je hicho ulichokisoma kilikua kimeandikwa nañani?Ndo maana nmekwambia imani yako ni potofu.
Aliyekuambia nlimfuata mtu ni nani?
Kuna hatua kadhaa mtu anapitia hadi kufikia hitimisho kuwa huyo Mungu hayupo ni story tu.
Ni hatua kwa hatua, kutokuamini Mungu hakuhitaji mahubiri.
Kutoka kukaririshwa (Imani) ➡️Skeptic ➡️Atheist
Hii ni inaanzia ndani mwa mtu mwenyewe.
Kama mimi jinsi nlivyofanya tathmini na kusoma kwa umakini, uchunguzi wenye viwango vya lami.. N. K
Kwahyo hakuna mtu nliyemsikiliza nkamfuata.
Hivyo imani yako ni potofu.
Unataka kila nlichokisoma nicite reference hapa?Naona uzunguka mbuyu Sasa apo uliposema umefanya tathmini na kusoma Kwa umakini swali langu je hicho ulichokisoma kilikua kimeandikwa nañani?
Jibu swali hicho kitabu unachosoma ww ambacho kilichokupa point za kutokumuamini Mungu kakiandika Nani au kimezuka tu itoshe kusema kuwa ww Yupo unaemuabudu ambae ni binaadamu Kama wwUnataka kila nlichokisoma nicite reference hapa?
Unaelewa swali langu?Jibu swali hicho kitabu unachosoma ww ambacho kilichokupa point za kutokumuamini Mungu kakiandika Nani au kimezuka tu itoshe kusema kuwa ww Yupo unaemuabudu ambae ni binaadamu Kama ww
Unavyoongea utadhan kweli huyo Mungu yupoJibu swali hicho kitabu unachosoma ww ambacho kilichokupa point za kutokumuamini Mungu kakiandika Nani au kimezuka tu itoshe kusema kuwa ww Yupo unaemuabudu ambae ni binaadamu Kama ww
Mwalimu wangu alifia ubaoni mbele ya darasa Kwa kunifahamisha mtu mmoja mm hivyo nivigumu kukuelewa kiurahisiUnaelewa swali langu?
Mungu yupo naww karibuni utakuja kututhibitishia uwepo wakeUnavyoongea utadhan kweli huyo Mungu yupo
Bahati mbaya huwezi kumthibitisha kama yupo.Mungu yupo naww karibuni utakuja kututhibitishia uwepo wake
Labda unambie ww kitabu changu kakiandika NaniBahati mbaya huwezi kumthibitisha kama yupo.
Huwezi kwasababu hayupo.
Kujua kuwa Mungu hayupo hakuhitaji kusoma kitabu ama kuambiwa na mtu
Hujui hata kitabu chako cha hadithi kimeandikwa na nani
Si na watu waliamua kujitungia hadithi za uongo.Labda unambie ww kitabu changu kakiandika Nani