Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Wenye dini zao na miungu wao. 😁
20230728_192907.jpg
 
Kuna watu wanaabudu Ng'ombe huko India. Mmewahi kuwaona wakiandamana kwa kitendo cha ninyi kuchinja na kula Ng'ombe
 
Kulikua na waarabu na wayahudi wenye akili hapo kale na ndio mana hata kwenye biblia yapo yaliyonenwa miaka zaidi ya elfu mbili na leo yanatokea.Sio quran tu.
Hata leo hii wapo wanaotabiri yatakayotokea miaka elfu tano ijayo ila haimaanishi wao ni Miungu.
Ñdio naona pia wanaotabiri tetemeko la ardhi nilini litatokea wapo eh?
 
Kuna watu wanaabudu Ng'ombe huko India. Mmewahi kuwaona wakiandamana kwa kitendo cha ninyi kuchinja na kula Ng'ombe
Sasa ng'ombe wangu mm itakuaje unizuie nisimchinje Kama huyo muhindi anamuonea huruma na aje nimuuzie ili amnusuru nisimchinje
 
Ukizungumzia ivo hata firauni aliachiwa ajiite Mungu mpaka pale siku yake ilipofika ñdio akaamini na akamjua Mungu kuwa yupo
Vizuri sana.

Sasa kwanini mlitaka kumuua Rushdie ikabidi akajifiche ughaibuni?

Huoni mngemuua mngemkosesha haki yake yakusubiri siku yakujua kuwa quran sio aya za shwtani bali ni kitabu cha Mungu?

Huyo Farao/firauni angeuliwa angepata wapi wasaa wakujua kweli Mungu yupo?

Kwa hiyo nyie mnaotaka kuua watu wasio amini allah/kuran mnaonajiona mna akili kuliko huyo allah anayewaweka pending?

Au mnafanya kile allah wenu hawezi kufanya?
 
Kwanini Hao Wa-Sweeden wanafanya hivyo lakini? Embu tupeane taarifa kidogo.
Kimezaliwa kizazi, cha, watu weupe wasiowapenda watu wa nasaba zingine,hawataki wahamiaji kutoka Afrika, Asia, wala Arabia, wanahofia Hari ikiendelea hv, demografia itabadirika, idadi ya wasio weupe watakuwa wengi kuliko wenyeji Wazungu!
Imefika wakati kila MTU akae kwake, tukutane kwemye ushirkiano tu, sio huna shida zako bongo, huna hata Mia, unataka ukimbilie ulaya kwenda kujihifadhi kwa gharama za Kodi za wananchi wa ulaya, wao walipe Kodi, we ule bure kwa kuhifadhiwa! Hawataki huo upuuzi, tena wewe mweusi ukifika uoe Dada zao, uzae watoto weusi, hawataki huo upuuzi, hawataki, race ya, kizungu ipoteee
 
Ñdio naona pia wanaotabiri tetemeko la ardhi nilini litatokea wapo eh?
Ubongo wako ni cherema.
Hata uchemshwe vipi hutakaa uive wewe.Hayo maujinga unayoamini yamejichimbia katika sakafu ya ubongo wako ni dhahiri utakufa nayo masikini.

Amka wewe.
Hata kwenye bible vimetabiriwa vingi kimojawapo ni hizi aeroplanes unazoziona ila siko hapa kwa lengo la kusema biblia ndio sahihi.
 
Ikiwa kama Mungu hayupo,Mungu kakufoanya unnye,wewe badilisha usinye.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mungu hajanifanya ninye.

Kitendo cha kunya kwanza kinathibitisha kabisa kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo,
Alishindwa vipi kuumba kiumbe ambacho ni perfect kisichotoa kinyesi?

Huo ni ukatili wa hali ya juu sana, kinyesi ni uchafu, kinyesi hiko kinasababisha hadi magonjwa kama vipindupindu n. K

Kama ni yeye kanifanya ninye unaweza thibitisha hilo?

Kwanini unajenga hoja kwenye kitu ambacho hujakithibitisha kuwa kipo?
 
Ubongo wako ni cherema.
Hata uchemshwe vipi hutakaa uive wewe.Hayo maujinga unayoamini yamejichimbia katika sakafu ya ubongo wako ni dhahiri utakufa nayo masikini.

Amka wewe.
Hata kwenye bible vimetabiriwa vingi kimojawapo ni hizi aeroplanes unazoziona ila siko hapa kwa lengo la kusema biblia ndio sahihi.
Ndio nakubali ubongo wangu chelema hauivi najua ww unaakili nyingi na utakufa tajiri ila mm sitaacha kumuamini Mungu
 
Wewe mwenyewe hujui maana ya dini.Dini ni neno la kiarabu,maana yake ni mfumo wa maisha.Wewe pia ni mfia dini,mfia mfumo wa maisha unayoishi(ndio dini yako).Wewe mfia dini(mfumo wa maisha ulio nao).

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ona huyu

Hajui hata maana ya dini.

Huelewi hata muktadha tulio nao hapa

Huelewi kuwa hapa tunaongea kiswahili siyo kiarabu.

Ukifungua kamusi yeyote ya lugha ya kiswahili ukaangalia neno dini litakuwa limemaanisha hivyo ulivyosema!?

Usitake tuanze kueleweshana lugha hapa.

Elewa muktafha tulio nao.

Maana ya neno ibaki kulingana na lugha tunayotumia.

Unanielewa?
 
Hili swali tumeshaliongelea hapo awali.

Wapi nimejisifu nina akili?

Akili ni nini?

Ikiwa sijawahi kuziona hizo akili, hilo linathibitisha Mungu yupo?

Mbona unaleta swali la logical non sequitur?

Nikifa leo, nisiwepo mimi wala akili yangu, hivyo nisiweze kuthibitisha kwamba nina akili, ikiwa Mungu hayupo, ile hali ya mimi kutokuwapo na kutoweza kuthibitisha nina akili itafanya Mungu awepo?

Umethibitisha Mungu yupo?
Umekuja na malalamiko tu,
 
Tatizo ni kwamba hata ukiona Socratic Method utaona malalamiko tu, huelewi ni kitu gani.

Ndiyo maana mazungumzo kati yangu na wewe ni magumu.

Ni kama vile nazungumza Kigiriki cha kale, ambacho wewe hukielewi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zuzu ..
Ulijiumba mwenyewe wewe,

Mm Sina hofu na kufru zako naona kama marudio tu walikuwepo wengi kama wewe na ukawakamata mkamato mkali,
Subiri siku unatolewa roho

Mm nakusibitishia Aya hii👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

إِنَّ رَبَّكُمُ اللَّـهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ

Hakika Rabb wenu ni Allaah Ambaye Ameumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha Akawa juu (Istawaa)[1] ya ‘Arsh [Al-A’raaf: 54]
 
Ndio nakubali ubongo wangu chelema hauivi najua ww unaakili nyingi na utakufa tajiri ila mm sitaacha kumuamini Mungu
Wewe kumuamini Mungu sio shida zangu.
Shida ni hilo li dini lenu linalotaka muue wenzenu.
Linalotaka mmbague wengine.

Nyie kushika jambia na kumwaga damu ni kitu.cha sekunde tu.

Na mko kama makondoo,mnaweza kukusanyika mji mzima na kuua kisa mtoto kakojolea karatasi za quran.
Siwatetea wakristo ila wao hata ukichambia biblia kamwe hawatakuua.Watakudharau tu mana wanajua zile ni karatasi tu.

Nyie sasa,mtahemkwa kama mazombie na takbir zenu.Nyie ni watu wa vita na visasi.Dini yenu sio ya amani.Ni ya Upanga na majambia ndio maana wazungu hawawataki kwao.Mnakera na mnachosha duniani hapa.
 
Ma shaa Allah, Hii safi sana, wachome zote, Qur'an ipo vifuani mwetu, wakimaliza waanze kutuchoma na sisi, na tunavyozaliana kama panya wataweza kutumaliza?


Hakika shetani Qur'an inaposomwa inamchoma, sasa ugomvi wake mkuu ni Qur'an.

Maana Sweden huko Ukristo walisha upiga teke, kufanyana ndugu na ndugu kwao [oa, kufanyana wanaume kwa wanaume kwao poa, wao na wanyama kwao poa. Qur'an anawachoma mioyo yao. Siwashangai.


Nyie mlioniita, mnaisoma tafsiri ya Qur'an kwa Kiswahili? Au na nyie ni mashetani mnaogopa?

Qur'an imekuja kwa waltmwengu wote si kwa ajili ya faizaFoxy tu, mnalielewa hilo?

Isomeni hapa tafsiri ya Qur'an: Qur'ani Tukufu
Kifuani mwako kuna Matiti yaliyolala wewe bibi kizee Ajuza, Quran labda ipo Mik..... ni mwako. Angalia kifuani mwako kama utaona Quran au Matiti yaliyolala kama Chapati za juzi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zuzu ..
Ulijiumba mwenyewe wewe,

Mm Sina hofu na kufru zako naona kama marudio tu walikuwepo wengi kama wewe na ukawakamata mkamato mkali,


Subiri siku unatolewa roho
Immanent critique.

Hebu niache nikukubalie kwamba mimi ni zuzu, kwa dakika moja, for the sake of argument.

Ikiwa mimi kweli ni zuzu, basi hilo nalo linathibitisha kwamba Allah/ Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Mungu huyo, kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na zuzu hata mmoja tu, ni kitu kisichomyukinika kimantiki.

Mungu huyo si mchoyo wa wema kiasi hicho, kwamba awe na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na zuzu hata mmoja, halafu akaumba ulimwengu ambao unakuwa na zuzu.

Kwa hivyo, ikiwa mimi ni zuzu kweli, huo uzuzu wangu pia utatuthibitishia kwamba Mungu hayupo.

Umeona kuniita zuzu ni kunikashifu, lakini, kashfa yako imetuonesha kuwa huyo Mungu unayemsema yupo, hayupo.

Habari ya "Ulijiumba mwenyewe?" si hoja ya kuonesha Mungu yupo.

Ukija leo na kusema kuwa wewe ni mtoto wa kibaiolojia wa jasusi la Kiingereza la kwenye hadithi 007 James Bond, watu wakakutaka uthibitishe kuwa 007 James Bond yupo kweli na ndiye baba yako wa kibaiolojia, halafu jibu lako likawa "kwani nilijizaa mwenyewe?", utatuthibitishia kuwa hujui mantiki.

Badala ya kuthibitisha 007 Iames Bond yupo kweli na ni baba yako mzazi, unaleta swali la logical non sequiture kutuuliza kama ulijizaa mwenyewe.

Inakuwa kama huelewi kwamba, inawezekana kabisa ukawa hujajizaa mwenyewe, lakini pia wewe si mtoto wa 007 James Bond.

Kwamba, suala la kutojizaa mwenyewe halithibitishi kwamba baba yako mzazi ni 007 James Bond.

Sasa hapa, unachotuambia ni kwamba, wewe baba yako mzazi ni 007 James Bond.

Tunakuomba uthibitisho kwamba huyo 007 James Bond yupo kweli na ni baba yako mzazi.

Unashindwa kututhibitishia hilo.

Unatuuliza swali la logical non sequitur.

Unattuliza "Kwani nilijizaa mwenyewe".

Ndipo udogo wa mawazo yako ulipo hapo.
 
Bilisi wa mtu nimtu naamini kila anaepinga uwepo wa Mungu huyo alishawishiwa na binaadamu Kama yeye kuwa hakuna Mungu namwisho akamuamini
 
Back
Top Bottom