Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Watapigwa na radi Nini mkuu?
Radi kutoka kwa allah haitakaa itokee.

Anamaanisha kuwalipua kwa mabomu au ndege au magari.

Ila waislamu jamani hawajitambui nyie.Kuna siku kidogo waniue haya majamaa.

Dakika kama 8 hivi baada ya mimi kutoka sehemu nje ya Mall nilikokua nimesimama kuongea na simu ikaja gari ikapita pale pale na kuingia ndani ya ile Mall kwa lengo la kuua wakristo.

Huwa siwaelewagi hawa wapuuzi.Wamejazana ulaya na marekani kwa wakristo badala ya kukimbilia arabuni halafu kila ifikapo msimu wa Christmas huwa wanapanga tukio la kuua as many christians as possible ni hivyo tu huwa wanazimwagwa kabla yakufanya upuuzi wao
 
Kuna muislam anaitwa Salman Rushdie baada ya kuisoma na kuijua vizuri quran akasema ni aya za kishetani.Alisema hivyo miaka mingi sana ila bado yuko na Mungu anaendelea kumpa afya na baraka zake
Sawa sasa mbona wapinga uwepo wa Mungu hatuwaelewi tushike lipi.
1.Quran imetungwa na waarabu
Au
2.Quran ni aya za shetani
 
Malizia maneno mpaka mwisho.Ni kitabu cha Mungu kwa watu lazima watu wahusike lakini angalia mlolongo wa uandishi wake na uhifadhi wake,ni muujiza usio na shaka.
Kimeandikwa na watu.

Hayo ya malaika ni uongo
 
Subiri karibuni utayaona hayo matokeo ya wanaochoma Quran tupohapahapa
Kwa hiyo unatulisha matango pori kuwa allah atawaadhibu waswidi hivi karibuni wakati alitakiwa aanze na Salman Rushdie aliyesema quran ni aya za shetan miaka mingi iliyopita na anadunda tu.
 
Kimeandikwa na watu.

Hayo ya malaika ni uongo
Una uhakika kuwa limeandikwa na watu ?
Je walikua nauchawi kiasi kwamba wameandika mambo yote yatakauotokea tangu Dunia inaumbwa
Je walipata wapi iyo elimu kwasababu Quran imeeeleza kila kitu haikuacha kitu
 
Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?

Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?

Ile Quran si makaratasi tu?

Au mnaabudu Quran?

Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo unatulisha matango pori kuwa allah atawaadhibu waswidi hivi karibuni wakati alitakiwa aanze na Salman Rushdie aliyesema quran ni aya za shetan miaka mingi iliyopita na anadunda tu.
Ukizungumzia ivo hata firauni aliachiwa ajiite Mungu mpaka pale siku yake ilipofika ñdio akaamini na akamjua Mungu kuwa yupo
 
Ukizungumzia ivo hata firauni aliachiwa ajiite Mungu mpaka pale siku yake ilipofika ñdio akaamini na akamjua Mungu kuwa yupo
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Dhana ya kuwepo Mungu imejaa contradictions zinazoonesha Mungu hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Sawa sasa mbona wapinga uwepo wa Mungu hatuwaelewi tushike lipi.
1.Quran imetungwa na waarabu
Au
2.Quran ni aya za shetani
Sio aya za shetani bali ni Novel/Riwaya tu kama za alfu lela u lela.

Hakina nguvu wala muujiza wowote wala hakijashushwa kutoka mbinguni
 
Una uhakika kuwa limeandikwa na watu ?
Je walikua nauchawi kiasi kwamba wameandika mambo yote yatakauotokea tangu Dunia inaumbwa
Je walipata wapi iyo elimu kwasababu Quran imeeeleza kila kitu haikuacha kitu
Kulikua na waarabu na wayahudi wenye akili hapo kale na ndio mana hata kwenye biblia yapo yaliyonenwa miaka zaidi ya elfu mbili na leo yanatokea.Sio quran tu.
Hata leo hii wapo wanaotabiri yatakayotokea miaka elfu tano ijayo ila haimaanishi wao ni Miungu.
 
Una uhakika kuwa limeandikwa na watu ?
Je walikua nauchawi kiasi kwamba wameandika mambo yote yatakauotokea tangu Dunia inaumbwa
Je walipata wapi iyo elimu kwasababu Quran imeeeleza kila kitu haikuacha kitu
Nina uhakika kimeandikwa na watu maana ni binadamu peke yake ndie anayejua kuandika.

Hayo ya kushushwa na malaika naomba tuheshimiane nina akili zangu siwezi amini huo upuuzi
 
Back
Top Bottom